Well done Ilboru..ACSEE 2013

Well done Ilboru..ACSEE 2013

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2010
Posts
1,948
Reaction score
1,238
Na sijui NECTA wanawekaje ranking zao..wanawezaje kuwaweka namba 4 wakati hamna zero wala four?..Its unfair kuiweka Mzumbe namba 2 wakati ina 4 mbili na 0 moja.

Anyways...congrats sana vijana..2014 mnarudi at the very top,,,na hii ni bila spoon-feeding.
 
usiseme hivyo basi na wengine wa kibaha tukisema necta haiko fair kwa kuwa kibaha ina one nyingi zaidi ya shule zote(vipaji) japo imepigwa hadi number 9 ni sahihi...mie nadhani na idadi ya wanafunzi inachangia
 
usiseme hivyo basi na wengine wa kibaha tukisema necta haiko fair kwa kuwa kibaha ina one nyingi zaidi ya shule zote(vipaji) japo imepigwa hadi number 9 ni sahihi...mie nadhani na idadi ya wanafunzi inachangia

Ha ha...Kibaha zaidi ya nusu ni division 3 bana...na pia kuna IV moja...not ideal.
 
I know the boys well,,its a disaster,,sijawahi ona matokeo mabovu ya a-level ka haya,,eti feza wana div one sita wamekuwa wa tatu,ilboru nayo,,oooh t.o ana one ya point tano,,,,i smell something fishy,,God help us tz
 
Bravo MZUMBE

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Matokeo ya kisiasa yashatoka! Sasa kama na haya haujaambulia kitu basi wewe ujue una matatizooo
.....!
 
vijana wa mzumbe na changamoto zote zile bado wamekuwa wa pili.bravo bravo mzumbe..
 
Mambo yote Uzumbeni bwana.......ranking inakua computed kwa average!!
 
Wamenye wa umenyeni...
Trip za enaboishu zilipungua this time.

ni kweli madogo wameigolgota vizuri ile golgota big up though nasikia kuna headmaster wao moja alitaka kuwaaribia nasikia yupo pugu kwa sasa BIG UP WATOTO WA WAMENYE NA ROUTE ZA KALOLENI HOSPT NAZO ZILIPUNGUA.
 
Mimi nilipomaliza Ilboru ilishika namba moja kitaifa! Anyway, namba 4 sio mbaya sana! Congrats!
 
Back
Top Bottom