Mkuu anashitakiwa kwa kosa la kusambaza siyo kupiga picha. Ushahidi wa kusambaza ndiyo unaotakiwaHapa ndio nashindwa kuielewa tasnia ya sheria, kwani huyo hakimu hana smatfoni? Single web pendwa atakuta ushahidi upo kweupe
Sasa zilifikaje kwenye jamii bila kusambazwa? Yeye ndio anaonekana kwenye hayo maudhui sasa atuambie kama si yeye ni nani aliyesambaza?Mkuu anashitakiwa kwa kosa la kusambaza siyo kupiga picha. Ushahidi wa kusambaza ndiyo unaotakiwa
I didn't expect wakili Msomi Albert Msando kutumia hicho kifungu 225(5) wakati anajua madhara yake ni yapi.
Anyhow, let us wait & see.
Yes, kifungu hicho kinaruhusu mtu kukamatwa na kufunguliwa mashitaka upya.Je kifungu hicho kinawezesha mtu kukamatwa tena, kama ilivyotokea au?
HIVI KATIKA NDOA YA HUYU MAMA NA BALOZI SEPETU SI WALIKUWA WANANDOA KABLA YA KUACHANA?? NA WASIWASI PIA KUWA HUYU DADA ALIKOSA MALEZI YA BABA TANGU AWALI AU KWA WINGI WA KIASI CHAKE!!Mzazi yule mama? [emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144]
Kama wamemkamata labda wanatamani wakamuambarudi usiku waleoMsanii wa filamu nchini, Wema Sepetu amezua kizaa zaa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akigoma kukamatwa na polisi baada ya mahakama hiyo kumwachia huru na kisha kumkamata tena na kumuweka mahabusu ya mahakama hiyo.
Wakati askari wakimkamata kwa nguvu, Wema aligoma kukamatwa hali iliyosababisha mvutano kwa muda kati askari na mawakili wake, Albert Msando na Reuben Simwanza.
Hata hivyo, askari hao walifanikiwa kumkamata msanii huyo aliyetoka Mahabusu ya Gereza la Segerea Juni 24, mwaka huu ambapo alifika mahakamani asubuhi kwa ajili ya kusikiliza kesi yake inayoendelea mbele ya Hakimu Mkazi, Maira Kasonde.
Wakili wa Serikali, Glory Mwenda alidai hana shahidi baada ya shahidi aliyemuandaa, Koplo Safi kudai ni mgonjwa.
Hoja hiyo ilipingwa na Wakili wa Wema, Albert Msando kwa madai kwamba haina mashiko, mahakama ilishatoa ahirisho la mwisho hivyo hawawezi kuahirisha tena.
“Mheshimiwa shauri lipo zaidi ya siku 60, upande wa mashtaka wameshindwa kuleta mashahidi, tunaomba chini ya kifungu namba 225(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai sura ya 20 mshtakiwa aachiwe huru,” alidai.
Wakili Mwenda alipinga akidai sheria ya siku 60 inatumika pale tu ambapo upelelezi haujakamilika hivyo aliomba kesi iahirishwe.
Hakimu Kasonde alisema anakubaliana na maombi ya upande wa utetezi, sheria hiyo inatumika wakati wowote hivyo mahakama inamuachia huru mshtakiwa.
Mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka ya kusambaza video ya ngono katika mitandao ya kijamii kupitia simu yake ya kiganjani.
Hapana nasikia huyu mama alikuwa msaidizi wa ndaniHIVI KATIKA NDOA YA HUYU MAMA NA BALOZI SEPETU SI WALIKUWA WANANDOA KABLA YA KUACHANA?? NA WASIWASI PIA KUWA HUYU DADA ALIKOSA MALEZI YA BABA TANGU AWALI AU KWA WINGI WA KIASI CHAKE!!
EndeleaI didn't expect wakili Msomi Albert Msando kutumia hicho kifungu 225(5) wakati anajua madhara yake ni yapi.
Anyhow, let us wait & see.
Msando Kachemka Sana Leo Hata Mm Nimeshangaa Sana, Halafu Wema Ana Bahati Leo Msando Kaja, Yule Dogo Wakili Wake analamba Midomo Mda WoteI didn't expect wakili Msomi Albert Msando kutumia hicho kifungu 225(5) wakati anajua madhara yake ni yapi.
Anyhow, let us wait & see.
Yule dogo mlaini sana. Nahisi alikosewa kuumbwa mwanaume hahahahah.Msando Kachemka Sana Leo Hata Mm Nimeshangaa Sana, Halafu Wema Ana Bahati Leo Msando Kaja, Yule Dogo Wakili Wake analamba Midomo Mda Wote
Hapo ndipo kwenye kasi yenyewe. Waendashamashitaka wanatakiwa kudhibitisha kuwa ni Wema ndiyo kasambaza na watetezi kuja na hoja kuwa hakuna ushahidi wa yeye kusambaza.Sasa zilifikaje kwenye jamii bila kusambazwa? Yeye ndio anaonekana kwenye hayo maudhui sasa atuambie kama si yeye ni nani aliyesambaza?
Halafu kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivu ukifika nyumbani hukamatwi tena kama kuna lolote?Wengine wakifutiwa kesi wanatoka wanakimbia breki ya kwanza nyumbani.
Yeye amefutiwa kesi katoka anapiga selfie.
HUYU DADA ANA SHIDA KIMAADILI SANA. NI JUU YAKE KUTUBU KWA MOLA WAKE, NA KISHA KUOMBA WATANZANIA WOTE MSAMAHA KWA DHATI KUTOKA MOYONI. KISHA ASIKUTWE TENA NA KASHFA MFANO WA HIZO.Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu amezua kizaa zaa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akigoma kukamatwa na polisi baada ya mahakama hiyo kumwachia huru na kisha kumkamata tena na kumuweka mahabusu ya mahakama hiyo.
Wakati askari wakimkamata kwa nguvu, Wema aligoma kukamatwa hali iliyosababisha mvutano kwa muda kati askari na mawakili wake, Albert Msando na Reuben Simwanza.
Hata hivyo, askari hao walifanikiwa kumkamata msanii huyo aliyetoka Mahabusu ya Gereza la Segerea Juni 24, mwaka huu ambapo alifika mahakamani asubuhi kwa ajili ya kusikiliza kesi yake inayoendelea mbele ya Hakimu Mkazi, Maira Kasonde.
Wakili wa Serikali, Glory Mwenda alidai hana shahidi baada ya shahidi aliyemuandaa, Koplo Safi kudai ni mgonjwa.
Hoja hiyo ilipingwa na Wakili wa Wema, Albert Msando kwa madai kwamba haina mashiko, mahakama ilishatoa ahirisho la mwisho hivyo hawawezi kuahirisha tena.
“Mheshimiwa shauri lipo zaidi ya siku 60, upande wa mashtaka wameshindwa kuleta mashahidi, tunaomba chini ya kifungu namba 225(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai sura ya 20 mshtakiwa aachiwe huru,” alidai.
Wakili Mwenda alipinga akidai sheria ya siku 60 inatumika pale tu ambapo upelelezi haujakamilika hivyo aliomba kesi iahirishwe.
Hakimu Kasonde alisema anakubaliana na maombi ya upande wa utetezi, sheria hiyo inatumika wakati wowote hivyo mahakama inamuachia huru mshtakiwa.
Mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka ya kusambaza video ya ngono katika mitandao ya kijamii kupitia simu yake ya kiganjani.
Bwana kimiminika nae in the house [emoji23][emoji23]Ngoja nikawapokee Ccm Stars kwanza,nitarudi baadae kucomment.....