Wema afanya shopping ya dollar 40,000

Wema afanya shopping ya dollar 40,000

Yani haka ka-dada kanafanya haya yote kwa ajili ya nani,ili iweje? Asitudanganye bwana fanya hesabu,currently 1 dollar=Tshs 1650 kwa hiyo kwa dollar 40,000 ni sawa na 66,000,000 ni kweli? Au kuna mtu amemtoa..hata kama yupo si wa kutoa millioni 60....
 
mbona hizo hela zinazotajwa hazielekei? yani unaweza kununua nguo na mazagazaga nyumba yakuka huna?
 
shopping $40,000 kula kulala kwa baba na mama. huu ni ujinga uliopitiliza.
 
Wanaomlalamia kama nyie hamuwezi,mwenzenu aweza
 
$40000 he he he he he he da so na mastaa wetu choka mbaya wabataka kujifanya kama mastaa wa mtoni??? maana nimeckia Fabilous kapiga zaidi ya $45,000 kwenye gambe la msela ake may na wema nae anatafuta umaarufu kupitia njia hii...he he he
 
By the way, muhusika aliyeandika habari hiyo thru her profile ametoa warning: USIIGE KUPAKATWA NA WEWE, so ni wazi kabisa ni promo n TRUST me ukitaka kushindana na mwanamke hadharani atakuaibisha so kama vipi waungwana tuachane na mada hii.... After all kila mtu anajua UKWELI!!!
 
hana hiyo kiburi
mbona watu mnataka kumpaisha hivi,
 
Kamama kenyewe mbona kwenye picha kanaonekana kabibi
 
Sidanganyiki ng'oo...shopping ya Splash na LifeStyle ndio icost $40k. Akadanganye hao hao
 
Mi nimeleta topic 2 ndo maana nimeandia source na picha nkaweka

The pictures you have shown do not indicate in ahy way if the ammount is 40,000 usd.
Wtz tumekuwa watu wa ajabu sana, we have all kinds of problems, lakini tuko busy na ******.
 
Katika nchi ambayo TRA na Forodha wanafanyakazi vizuri, mtu kama huyu anatakiwa aonyeshe Kodi ya mapato yaliyompatia faida ya fedha yote hiyo kiasi anaifanyia shopping ya starehe, pia wakatia akiingia nchini forodha wangemsubiri alipie ushuru wa forodha wa mizigo hiyo, halafu aendelee na maisha yake
 
Hebu acheni ujinga shoping ya dollar 40,000 dubai? Hakuna sehem vitu bei rahisi kama dubai,mm naishi hapa dubai lau angefanya shoping hiyo kwa mazagazaga hayo ya kike basi angekosdi contena kuweka vitu vyake lakini hivi vya kwenye picha hakuna kitu,
 
Hebu acheni ujinga shoping ya dollar 40,000 dubai? Hakuna sehem vitu bei rahisi kama dubai,mm naishi hapa dubai lau angefanya shoping hiyo kwa mazagazaga hayo ya kike basi angekosdi contena kuweka vitu vyake lakini hivi vya kwenye picha hakuna kitu,

Afadhali umewaambia wanaoshabikia na mleta mada...
 
Back
Top Bottom