Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

D
Mi yan npo kote kote leo cna kaz nna hangaika nasubr ile part ianze

Acha tu leo ni umbea kwa kwenda mbele.Nilikua nimechanganyikiwaje umeme ulivyokua unazingua?
 
Mwenzaknmenunua power bank apa labd net izngue

Mimi pia ninayo my dear tatizo nilikua sijaichaji.Na hivi sinaga mazoea na watu naanzaje kwenda kugonga mageti ya watu nichajishiwe?
 
hahaha sisi sio wabaya.. ila ni waharibifu lakini hatupendi vilivyoharibika. najua umenielewa.
 
Yugu kwani wewe unamuonaje? Kijana kwako kwangu mzee.
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia ninayo my dear tatizo nilikua sijaichaji.Na hivi sinaga mazoea na watu naanzaje kwenda kugonga mageti ya watu nichajishiwe?

Tuombe siku iende sawia maan af umeona na white sensation ya ommy dimpo kesho et arusha bas wanaiga tu kila ktu white
 
Tuombe siku iende sawia maan af umeona na white sensation ya ommy dimpo kesho et arusha bas wanaiga tu kila ktu white

Sijaona my, ngoja nitaenda insta kuangalia baadae.
 
Yugu kwani wewe unamuonaje? Kijana kwako kwangu mzee.

Nifan. mapenzi hayana macho ila nikipata confirmation ka ndo yeye nitaongea maana component ya mapenz y ck hiz ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Wemaaaaa!!!nahisi mganga aliyemroga keshakufa Eti "tukutane mwanza tufurahi tuinjoy"anaongea kwa hurumaa masikini wemaa!bora ukimbilie mwanza maana bongo leo hapakaliki kabisa mtaa mzima leo utabaki mwenyewe!!!mpaka maswahiba wako wanakwenda kwenye party.

POYEEEE WEMAAA,siku nyingine ujifunze kuhusu mapenz na wanaume sio ngono tu,uvumilivu ndio mpango mzima unajifanya kususa??ona sasa leo unavyowaya waya
 
Hahahahahaaha na jan alijioa mwenyw leo anahangaika na part ya mwanza angetulia tu hajielew anahangaika ja anatak kutaga
 
Hahahahahaaha na jan alijioa mwenyw leo anahangaika na part ya mwanza angetulia tu hajielew anahangaika ja anatak kutaga

Yaani anawatia aibu mashabiki wake mpaka wengine wanaona aibu kusema kwamba wanampenda wema mbele za watu maana wanaogopa kuonekana MAZOMBIE!we mtu gani kila siku kujidhalilisha tu kwa kusema uongo!!utafikiri dume bwana!?

Kilichobaki sasa ni kuwa teja tu.
 
Mi skunying nshajuaga akil zake hazifai maan kweny hyo ina my shoez anachokiongeaga ni utumbo wa vata tu inshort hajielew nyimwa vyote upewe akil chibu ashkur maan kaondokan na jin mbulula akil zake zpo sawa na za mbwa wake yule mwanae
 
Ahahahaaa mbwa wale wamezaliana sasa hivi wako wengi haoooo,ukimuona anakoongea nao utacheka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…