Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
D
Mi yan npo kote kote leo cna kaz nna hangaika nasubr ile part ianze
Acha tu leo ni umbea kwa kwenda mbele.Nilikua nimechanganyikiwaje umeme ulivyokua unazingua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
D
Mi yan npo kote kote leo cna kaz nna hangaika nasubr ile part ianze
nawaza huyo ni mwanaume wa aina gani aliyekubali kujitoa kafara.
Acha tu leo ni umbea kwa kwenda mbele.Nilikua nimechanganyikiwaje umeme ulivyokua unazingua?
Hahahahaa,haya....
Eti anaogopa juju, angeanza kupigwa K-Lyn kwanza sio yeye.Yeye aseme tu ukweli kaolewa na kibabu chake basi. haaa!!!! ina maana ni mzee ngime.
Mwenzaknmenunua power bank apa labd net izngue
Mimi pia ninayo my dear tatizo nilikua sijaichaji.Na hivi sinaga mazoea na watu naanzaje kwenda kugonga mageti ya watu nichajishiwe?
Tuombe siku iende sawia maan af umeona na white sensation ya ommy dimpo kesho et arusha bas wanaiga tu kila ktu white
Sijaona my, ngoja nitaenda insta kuangalia baadae.
Mind u this is a free arena .... I'm free to read n comment on anything whether meaningful or pontless. Anyways lemme put my fingers off ur pointless gazeti... again I'm off....[/QUOTE
Good riddance
Wemaaaaa!!!nahisi mganga aliyemroga keshakufa Eti "tukutane mwanza tufurahi tuinjoy"anaongea kwa hurumaa masikini wemaa!bora ukimbilie mwanza maana bongo leo hapakaliki kabisa mtaa mzima leo utabaki mwenyewe!!!mpaka maswahiba wako wanakwenda kwenye party.
POYEEEE WEMAAA,siku nyingine ujifunze kuhusu mapenz na wanaume sio ngono tu,uvumilivu ndio mpango mzima unajifanya kususa??ona sasa leo unavyowaya waya
Hahahahahaaha na jan alijioa mwenyw leo anahangaika na part ya mwanza angetulia tu hajielew anahangaika ja anatak kutaga
Yaani anawatia aibu mashabiki wake mpaka wengine wanaona aibu kusema kwamba wanampenda wema mbele za watu maana wanaogopa kuonekana MAZOMBIE!we mtu gani kila siku kujidhalilisha tu kwa kusema uongo!!utafikiri dume bwana!?
Kilichobaki sasa ni kuwa teja tu.
Mi skunying nshajuaga akil zake hazifai maan kweny hyo ina my shoez anachokiongeaga ni utumbo wa vata tu inshort hajielew nyimwa vyote upewe akil chibu ashkur maan kaondokan na jin mbulula akil zake zpo sawa na za mbwa wake yule mwanae
Mi nahisi baadae tutaambiwa ilikua muvi.....