Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Leo team mwafulani mmeipata, hakika leo ni siku mbaya sana kwenu, maana toka hasubuhi mpaka usiku habari ya jiji ni zari white party khaaa yule mtoto ni kiboko aseeh, sio mapokezi yale binamu, we umeonaje? Mtoto anatreatiwa kama malkia full break fast ya nguvu

Hebu weka picha nione hayo mapkezi hhhaaaaaaaaa
 
Hawezi shika mimba kama amekuwa na tabia ya kutoa toa itakuwa imemponza
 
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe angeshindwa kumuoa.

Hata hivyo alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba alisema kuwa mumewe amelikubali na hana tatizo.

==============
Chanzo: CloudsFM
Mimi nasema bora ya huyu aliyejifanyia ya kimya kimya hata ikibumbuluka ni kimya kimya kuliko yule mbunge aliyechangisha harusi ya zaidi ya milioni 100 na ikavunjika dakika za mwisho na dunia nzima kujua. Watu mpaka leo wanadai chenji zao maana harusi ilishindikana!
 
jamani me kama mimi ukimuweka Wema hapa Zari pale me naonoka na wema tuu zali baadae.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Leo team mwafulani mmeipata, hakika leo ni siku mbaya sana kwenu, maana toka hasubuhi mpaka usiku habari ya jiji ni zari white party khaaa yule mtoto ni kiboko aseeh, sio mapokezi yale binamu, we umeonaje? Mtoto anatreatiwa kama malkia full break fast ya nguvu

Lahaulaaa... Walafi utawajua tu, yaani hata chai unasifia? Pole.
 
Umeshawahi kuona bibi harusi leo kaolewa kesho anaenda mwanz kwenye show mxiuu huyu wema ana kichaa sio bure Mrembo by Nature uje uku usikimbie aibu yenu, nyie jana tu mmetoka kuolewa leo mwanza ebu tufafanulie vizur?

Hhhhaaaaa uwiiiii
 
Last edited by a moderator:

au siku hz hanimuni zimefutwa?
 
Last edited by a moderator:
Hhhhaaaaa uwiiiii

LOh aibu inavyowakuta wanaweweseka mxiuu zari sio type yao hao wacheza vigodor show zao bills na maisha club, show za elfu nne nne mxiuuu mwanza my foot, na bado wataenda mpaka kigoma leo mxouuuu
 
Mwenzangu huko insta kuna picha dougiemasta kaweka eti kuna party ya harusi sijui nini!
Hawana lolote wanataka kuwachanganya watu tu na hivi kesho kuna party ya diamond na zari...

Unajua Wema simuelewagi. Si mchukii ila sidhani kama ana akili kiasi kwamba anaweza kumsema Chibu ana IQ ndogo. Yaani kati ya vijikundi vyoote ameona Dougimasta na Matikibokoyao ndio watu wakujihusisha nao. Ni wazi kabisa yeye ndio anampaga siri na maneno mengi amabayo Dougimasta anamtukaniaga Chibu na ndugu zake. Yaani Dougimasta vile alivyomtukana Romyjons wa watu, na kila leo matusi kwa Chibu. Halafu kwa haya matusi yoote Wema anategemea eti akimtumia Chibu meseji hata kama ni ya kumjulia mama yake hali eti Chibu amjibu. Kwa kweli hata kama Chibu alikua ana mapenzi bado moyoni na Wema, kwa tabia hii ya Wema kumkumbatia Dougimasta, lazima hasira na mapenzi ya potee.
Dougimasta, Matikibokoyao, Wema, martinkadinda wamekaa chini wakaona hii sherehe ya Zari imeshika moto sana wakaona wadanganye eti Wema kaolewa. Ile kadi ya mualiko nyekundu Dougimasta aliweka insta ni ya kugoogle, lile BMW lenye uwa mbele ni la kugoogle, huyu msichana hajaolewa ile nguo ya harusi amevaa ilikua ni movie ana shoot au tangazo. Sasa najiuliza ni akili gani kutangaza umeolewa na hawa akina Dougiemasta kujishaua huko insta eti wamealikwa kwenye after party. Ni ujinga uliokithiri angefanya tu mambo yake. Halafu dougimasta bado anamtukana Chibu eti ni mbunge wa maji machafu etc. Duh!
Huyu dada anaitwa who-is-the -boss huko insta, somehow I like her. Anamtetea Chibu na Zari by proving a lot of what Dougiemasta na teamwema post about Chibu na Zari to be lies. Ila to be honest matusi mengi huanza na team wema wakiongozwa na huyo Dougiemasta. In short Wema amejiharibia sana, no wonder Diamond doesnt want to remain friends na yeye. He is still friends na Penny, imagine of all women, Penny alitakiwa amchukie sana Diamond kwa aliyomtenda lakini wala they are good friends, hata Kidoti. Ila Wema ulimbukeni umezidi, mwanamke ukiwa mrembo lakini una maudhi na tabia zisizo faa hauta dumu na wanaume.
 
Umeshawahi kuona bibi harusi leo kaolewa kesho anaenda mwanz kwenye show mxiuu huyu wema ana kichaa sio bure Mrembo by Nature uje uku usikimbie aibu yenu, nyie jana tu mmetoka kuolewa leo mwanza ebu tufafanulie vizur?

Aibu ya nini? Hivi ndoa za kuzungu unazijua wewe? Tatizo ushazoea za kiswazi za kizungu huziwezi.... by the way wale wageni kutoka Uganda ni wagonjwa??? Na vile vikwapa je? Vimegombana na viwembe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom