Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

ile itakuwa movie sema wabongo kwakukuza mambo. maana chini ya picha hizo kuna
...... films production
 
Aisee kuna wanaume wana mioyo haswa,labda jamaa hakukulia TZ.

Tena wanawake micharuko type ya Wema wengi huwa ni wife bora sana wanatulia na ndoa ulimbukeni kwishney tofauti na hata aliye bikra .
 
Binadamu ni kama kei Nyuma wapo mbele wapo. Ooh haolewi oohh kachuja sasa ameolewa bado mnatomboka. Akifanya matangazo mnamsema anapenda drama . Akifanya kimya kimya pia ni tabu. All in all wema ni talk of the country.... usipomsoma kwa shigongo utamsoma IG, usipomsoma IG basi JF lazima wamjadili. Publicity is publicity whether negative or positive. Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa...na mkisema wa nini wengine hujiuliza watakipata lini. Shetani kwako malaika kwingine...
Bado sijastaafu Kamanda wa sepenga!!
 
Ukweli ni kwamba Wema ata 1/10 ya uzuri wa Lulu hana!

Mjini tunalilia bahati uzuri waachie ndege tausi. Uzuri hautoshi mjini. Hata huyo Lulu ange kuwa lulu kweli asingefiwa kila siku na wanaomlala. ...
 
ndoa bwana cheti kwanza mitihani badae wakati shuleni mitihani kwanza ndo cheti kinafuata mama ubaya tuliza sasa iyo nyapu tusisikie ndoa imevunjika hapa.
 
Binadamu ni kama kei Nyuma wapo mbele wapo. Ooh haolewi oohh kachuja sasa ameolewa bado mnatomboka. Akifanya matangazo mnamsema anapenda drama . Akifanya kimya kimya pia ni tabu. All in all wema ni talk of the country.... usipomsoma kwa shigongo utamsoma IG, usipomsoma IG basi JF lazima wamjadili. Publicity is publicity whether negative or positive. Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa...na mkisema wa nini wengine hujiuliza watakipata lini. Shetani kwako malaika kwingine...
Bado sijastaafu Kamanda wa sepenga!!

Kaolewa na nani? Zari ndo talk of the town, kwanza umeona alivyopokelewa clouds? HUyo shoga ako toka azaliwe hajawahi kupewa treatment ile clouds, zari kiboko yao
 
Ni talk of the village kwako ww na demu wako. Khs mapokezi sishangai kwani meneja wa domo ni ruge indirectly
 
Leo team mwafulani mmeipata, hakika leo ni siku mbaya sana kwenu, maana toka hasubuhi mpaka usiku habari ya jiji ni zari white party khaaa yule mtoto ni kiboko aseeh, sio mapokezi yale binamu, we umeonaje? Mtoto anatreatiwa kama malkia full break fast ya nguvu
 
Back
Top Bottom