Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 360
Navuta picha utaishije kuishi na mke Kama wema
Aisee kuna wanaume wana mioyo haswa,labda jamaa hakukulia TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navuta picha utaishije kuishi na mke Kama wema
Ukiwa na mtoto wako wa aina ya Wema, unawezq ukafa siku si zako!
Aisee kuna wanaume wana mioyo haswa,labda jamaa hakukulia TZ.
Ukweli ni kwamba Wema ata 1/10 ya uzuri wa Lulu hana!
Ukweli ni kwamba Wema ata 1/10 ya uzuri wa Lulu hana!
Nimekubali, umetisha mkuu.Ukiwa na mtoto wako wa aina ya Wema, unawezq ukafa siku si zako!
Binadamu ni kama kei Nyuma wapo mbele wapo. Ooh haolewi oohh kachuja sasa ameolewa bado mnatomboka. Akifanya matangazo mnamsema anapenda drama . Akifanya kimya kimya pia ni tabu. All in all wema ni talk of the country.... usipomsoma kwa shigongo utamsoma IG, usipomsoma IG basi JF lazima wamjadili. Publicity is publicity whether negative or positive. Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa...na mkisema wa nini wengine hujiuliza watakipata lini. Shetani kwako malaika kwingine...
Bado sijastaafu Kamanda wa sepenga!!
Siyo cheti bwana ni mapenzi ya dhati.Hongera zake, duh ndoa ni ndoa tu bora cheti
Kaolewa na nani? Zari ndo talk of the town, kwanza umeona alivyopokelewa clouds? HUyo shoga ako toka azaliwe hajawahi kupewa treatment ile clouds, zari kiboko yao
Ni talk of the village kwako ww na demu wako. Khs mapokezi sishangai kwani meneja wa domo ni ruge indirectly