Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Kam mtu hataki kubadilika watu tumfanyaje!?tumemuonea huruma wee mwanzo lakini sasa ameonyesha tabia yake halisi,wema bwana
 
Kesho madame atakuwa na part mwanza, imepewa jina "INSTAGRAM PARTY" guest of honour atakuwa Idrissa mshindi wa BBA so bila shaka huyo ndio mr wake.
 
thubutuuu atambe kumpata bwana kama Idriss?
 
Chibu kapata muke mwenye akili kubwa sio mcheza vigodoro n mlevi mbwa ndio mana wanaume tumeambiwa mke mwema hutoka kwa ........,muganda kampa dili la mamilioni na mimba juu hpo chibu kapata mukeeee
 
Halafu Chibu anapenda mwanamke mtafutaji ndio maana kipindi kile mashabiki jina wasiokuwa na faida wa wema wanaanzisha kampeni ya #Bringbackourmadame aliwajibu kwamba hata kumuigizia.mnataka nimuigizie miye?

Martin kadinda ameshaongea wee lakini dadalao limegoma.Mwache aendelee na hiyo hali ila hakuna atakayechanga mchango kikinuka.
 
Halafu ki2 domo akifanya huyo madam nae yupo nyuma sasa alienda uganda dec nae madam akatafuta safari y huko instead afanye mambo.hata hiyo insta party yeye amealikwa tu sio muandaaji bt pwanya road full kusema pati yao
 
Ahahahah usiniambie!?!?!kumbe ni Party ya kualikwa??ndio maanaaaa!!!kwenye ile clip hakusema saa wala eneo kumbe alikuwa hana uhakika ni ukumbi gani!maskini miss tz wetu.

Yaani yale maneno ya kwenye wimbo wa x wake wa nasema na wewe yanamhusu yote.full uongo mtoto yule
 
Kuna jamaa w dar ndio waandaaji yeye kaalikwa kuuza sura 2 hao team yke hata nauli y basi hawana full kelele humu,wao fani yao kuuza mpapa 2
 
Makubwaaa!!sasa kiherehere cha kualika watu wakati na yeye amealikwa ni kikali!

watu wake wema hawajui kama usichana una mwisho.
 
Haya hayaaa
 
Attachments

  • 1430667947769.jpg
    1430667947769.jpg
    28.1 KB · Views: 361
Jaman watu msudanganyike hamna ndoa wala nini ni muvi inakuja tuu wala no ndoa io ni promo kama ishasemwa na wenzangu poa tuu ila ndo ivo hamna ndoa
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1430668996918.jpg
    uploadfromtaptalk1430668996918.jpg
    74.1 KB · Views: 293
Haya hayaaa

Kuna picha Idrisa kapost nimesoma comments zimenivunja mbavu.. Nikifanikiwa kuiattach nitaiweka.. But Wema angeachana na uvaaji wa nguo fupi angependeza sana
 
Kapost wapi best.. Niifuate huko huko.. Hahaaa
 
Back
Top Bottom