Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Kuna picha Idrisa kapost nimesoma comments zimenivunja mbavu.. Nikifanikiwa kuiattach nitaiweka.. But Wema angeachana na uvaaji wa nguo fupi angependeza sana

Nimeiona ni sheeedah
 
Kitambaa hiki ni chako.. Chaweza kuwa leso, Sanda Au kipande cha nguo. Kaz ni kwako kuchagua wakumsitiri, ona ujinga wako ukarushia kutambaa chako juu Ya jiwe jiwe harisitiriki mdogo angu jiwe kiboko yake moto... Liunguze litapasuka halina ujanja af mwagia maji baridi lisiwe na makali wallah nakwambia jiwe c jiwe tena... Kitambaa chako ukisitiri jiwe ndugu jiwe litaenda na kitambaa chako (stara) nalinakoelekea huko laweza okotwa na mwendawazimu hilo bila kujua kama Wewe Ndo ulilisitiri jiwe hilo akakupopoa nalo usoni. Nimemaliza naenda nje ya mada wemasepetu mdogoangu hakuna #ZenawaitiPATI biLa ya wewe... Tungemjulia wapi sie? Mbona mwanamke wa ridhwani mtoto wa rais wa Tanzania hatumshobokei? Kagusa ulipogusa malkia kapata upako wa kitambaa chako. Shoga kitambaa chako cha thamani ulichowasitiria ndo wanachokuringishia... And I want to make this clear team ZENA is UTOPIA it never EXIST kuna WEMAZ HATERS... Dogo kitambaa ulichobarikiwa Nacho mtupie fundi mashuhuli na mahiri akutolee mshono hatari... Tatizo sio UZURI tatizo KITAMBAA. Uzuri alikua nao tokea Kwa museven na folowas 12 kg kakutana na kitambaa anahemea 300 kg... #stokiLEOnaogopaKIPIGO 👏👏👏👏
 
Last edited by a moderator:

the point ni wema kaolewa, i dont think kama ina uhusiano wowotw na maisha ya daimond, hebu tujifunze kucomment in relation to the thread, kama wema kaolewa ni kheri, daimond nae you never know ana mipango yake or else ana maamuzi ya kuishi maisha yoyote
 
Hongera zake mwanamke mwenzetu............ila sisi watu ni wachawi sana......... wema akiolewa kwann uumie na matusi ju..........tunajua hatuwezi mfikia hata robo thus why miroho inatudunda ....kila tukisikia chochote kuhusu wema......sasa mlitaka asiolewe?!!!!! Na mara nyingi ndio mana hatufanikiwi kwa kuwawekea chuki watu hata kuwaona hatujawahi......
 

Like mia kwako........ some people were born to hate though
 
K-Lyn haolewa na mume wa mtu. kidini sawa ni mume wa mtu lakini ki uhalisia Mengi have been single for years. Mke ambaye hamuishi nyumba moja ikishapita miaka miwili, utasema una mke au hata mume. Ila hii wa Wema naona ni drama nyingine.
Kumbe ndio maana aliweka picha insta akiwa kavaa gauni la harusi?
Hana lolote huyo kaolewa na mume wa mtu.Kwanini afunge ndoa ya bomani? Yaleyale ya K-Lyn tu.
 

- Huu ni uongo wa kitoto sana hii siku nimewaona yeye na JB wakishoot hii muvi pale Hilton Double Tree Hotel leo imekuwa ndoa? Halafu kwa uongo kama huu nia na madhumuni ni nini hasa mupage yote hii kwa ajili ya habari ya uongo hili Taifa tunaenda wapi? Inasikitisha ok now what is the agenda here kwamba kuna siku watakuja kutenengeneza pesa kwa uongo wa kitoto kama huu?

Le Mutuz
 


Kwa hiyo nani muongo?Mleta mada au Clouds FM?
 

halafu eti wanataka wamlinganishe na zari the bossylady
watasubiri sana
 

na director alinukuu haya pichani..pia wema alidanganya alipohojiwa na Millard Ayo kuwa kaolewa na ndio alivaa gauni hilo kwa ajili ya harusi yake. direcor katengua na mie nashangaa y habari hii ado imo humu tena thread mbili, bali majibu yake yalikuwa ya kumumunyaaaaa alitaka attention itoke kwa ZWP. anahangaika sana wema
 

Attachments

  • director wema2.jpg
    26.2 KB · Views: 296
  • director wema.jpg
    32.7 KB · Views: 294
Yaan! Kila MTU na moyo wake ! Maana Wema sio
Mwanamke ni kifaaa chakavu! DIAMOND, IDRIS,DR.MWAKA(MME WA MTU) na wengineo...
Zitavunjika hadi basi hizo ndoa!
Anatakiwa asifunge ndoa aendelee hivyo hivyo
Michezo take kwa sababu ndo ilimpelekea Tasa!
Basi tuuh kila kitu kinatokea kwa sababu!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…