Leo team mwafulani mmeipata, hakika leo ni siku mbaya sana kwenu, maana toka hasubuhi mpaka usiku habari ya jiji ni zari white party khaaa yule mtoto ni kiboko aseeh, sio mapokezi yale binamu, we umeonaje? Mtoto anatreatiwa kama malkia full break fast ya nguvu
hizi habari sio za udaku kweli
Mimi nasema bora ya huyu aliyejifanyia ya kimya kimya hata ikibumbuluka ni kimya kimya kuliko yule mbunge aliyechangisha harusi ya zaidi ya milioni 100 na ikavunjika dakika za mwisho na dunia nzima kujua. Watu mpaka leo wanadai chenji zao maana harusi ilishindikana!Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe angeshindwa kumuoa.
Hata hivyo alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba alisema kuwa mumewe amelikubali na hana tatizo.
==============
Chanzo: CloudsFM
Leo team mwafulani mmeipata, hakika leo ni siku mbaya sana kwenu, maana toka hasubuhi mpaka usiku habari ya jiji ni zari white party khaaa yule mtoto ni kiboko aseeh, sio mapokezi yale binamu, we umeonaje? Mtoto anatreatiwa kama malkia full break fast ya nguvu
Lahaulaaa... Walafi utawajua tu, yaani hata chai unasifia? Pole.
Naona kama usanii vile,,, wanavyopenda ndoa, angeanzaje kufunga ndoa ya kimyakimya....
Pole kwa msiba jaman, mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu, kazi ya mungu haina makosa
Hhhhaaaaa loooo
Umeshawahi kuona bibi harusi leo kaolewa kesho anaenda mwanz kwenye show mxiuu huyu wema ana kichaa sio bure Mrembo by Nature uje uku usikimbie aibu yenu, nyie jana tu mmetoka kuolewa leo mwanza ebu tufafanulie vizur?
au siku hz hanimuni zimefutwa?Umeshawahi kuona bibi harusi leo kaolewa kesho anaenda mwanz kwenye show mxiuu huyu wema ana kichaa sio bure Mrembo by Nature uje uku usikimbie aibu yenu, nyie jana tu mmetoka kuolewa leo mwanza ebu tufafanulie vizur?
Mme atajulikana tu tena ye mwenyewe atamwanzishia skendo
Hahaaaaa umeniwahi nilitaka kusema hivo hivo
Hhhhaaaaa uwiiiii
Mwenzangu huko insta kuna picha dougiemasta kaweka eti kuna party ya harusi sijui nini!
Hawana lolote wanataka kuwachanganya watu tu na hivi kesho kuna party ya diamond na zari...
Eti anaogopa juju, angeanza kupigwa K-Lyn kwanza sio yeye.Yeye aseme tu ukweli kaolewa na kibabu chake basi. geniveros Diva Beyonce