Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Hapo sasa.Huyu ana lake zitooo kuliko maelezo.
Wema huyu tunayemjua sisi au yupi wa kuficha kitu?

Ana mrusha roho tu diamond na zari hana lolote!kuolewa kulivyokuw raha masikhara sasa??!unatamani dunia nzima ijue kama umeolewa halafu humfiche mumeo!wema gani wakuwa na siri!

Ameshindwa kujifichia siri ya ugumba ataweza kuficha mume na ndoa?
 
Afu demu mwenyew kama Samsha wa Ney! Demu bayaaa
 
Ana mrusha roho tu diamond na zari hana lolote!kuolewa kulivyokuw raha masikhara sasa??!unatamani dunia nzima ijue kama umeolewa halafu humfiche mumeo!wema gani wakuwa na siri!

Ameshindwa kujifichia siri ya ugumba ataweza kuficha mume na ndoa?

Ha ha ha mimi siamini bwana labda anatafuta kick tu kutokana na hiyo party ya kesho.
Anaogopa kusahaulika.
 
Ndimu Ndimu hata kwa Millard Ayo hajajibu vizuri kama kaolewa au laaaaa....kajibu kutafuta attention kabla ya kesho na naamini kamuomba Millard amuhoji leo...ila kachelewa angesubiri baada ya kesho...ndimu ndimu zimeisha magengeni.

Hivi angekaa kimya na kufanya yake nani angemsema maana wadau wanammwagikia hadi anakuwa mdogo mdogo na timu yake wanakopi picha kudanganya....

Yaani anachachatika mtoto wa kike na timu yake.
Eti oohh gari ya wema bmw na cyo gari alopewa na nani cjui inahusuuu.
Kama bosi wao anajeur angerudisha gari tuoneee.
Mie wanantia kichechefu wallahi hii timu inayolipwa bundle la jero
 
lukelo sakafu hii post yako imekaa kidada sana, yaani kama wewe ni Me basi usirudie kuleta thread ya hivi, haya mambo waachie wadada
 
Ana makubwa naye kwani yeye ndo wa kwanza kuolewa! Yani anaficha hadi harusi lazima kuna kitu si bure anaficha.

Mwenzangu huko insta kuna picha dougiemasta kaweka eti kuna party ya harusi sijui nini!
Hawana lolote wanataka kuwachanganya watu tu na hivi kesho kuna party ya diamond na zari...
 
Mwenzangu huko insta kuna picha dougiemasta kaweka eti kuna party ya harusi sijui nini!
Hawana lolote wanataka kuwachanganya watu tu na hivi kesho kuna party ya diamond na zari...

Hamna cha harusi wala nini hapo wanarusha watu bure baadae waje kusema ilikua project.Huwa najiuliza hivi Wema hanaga washauri ndo nini kujitesa kwa MTU ambaye wameachana.Hii ni aibu sasa
 
Haya oneni watu wanataka haribia kazi wengine, badala ya kutangaza filamu wanadai ni ndoa yao....

Kweli wizi mtupu huo

Inasikitisha sana kisa Diamond na Zari. Ndio mwanamke udakie kazi za watu kuita harusiii...mkome kumuitia kazi hana soko tafuteni wasanii wapya muwapaishe sasa...
 
Attachments

  • 1430416819341.jpg
    1430416819341.jpg
    37.5 KB · Views: 716
Back
Top Bottom