Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

Ku like siyo issue kibinadamu mtu anapokuwa kwenye matitizo ni vyema kutakiana heri, ukoangalia hata tale amelike ila ni ccm
Ha ha ha ha
Endelea kujifariji tu

Na Wema safari hii hayuko radhi kuwapigia promo hata mkimpa vihela vyenu
 
Mbowe amelike pic yangu insta so ni mfuasi wangu amehamia kwangu au sio!!
 
LOL

Kuhama hama chama ni kukosa mengi na tamaa juu.
Sio tamaa

Amechoshwa na hii serikali ambayo imeshindwa kuwaendeleza vijana ,imeshindwa kuendeleza sekta ya michezo, muziki na sinema

Bongo muvi ishakufa tayali na sekta ya michezo inaenda kufa kwa kuwa wachezaji hawapewi motisha kama kipindi cha kikwete
 
Aliondoka lowasa, kingunge, sumaye ije kuwa wema acheni masihara basi mbona ni mtu mdogo sana kwenye chama huyu... Kijana usiwajibishwe ukifanya kosa tukihofia mtu atahama chama haahahaahahahaha..... Let her go for good or worse
Walivyo hama hao watu hali ya chama ilikuwaje?

Ilibaki stable au ili tetereka?
 
Ccm wanajinywesha sumu kali wao wenyewe soon tutaisahau kama KANU
 
Chama cha Democrasia n.a. Maendeleo sasa inaenda kujaa wenye tamaa ya madaraka. Aiseee adi rahaa. Kule babu mamvi kule wema sepenga.....chama cha kijani kitabaki na wasafi soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…