Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

Ha ha ha ha
Endelea kujifariji tu

Na Wema safari hii hayuko radhi kuwapigia promo hata mkimpa vihela vyenu
Mimi ni CDM zaidi yako, unavyonihusisha na CCM sikuelewi kabisa, ila ukada hawezi kunifunga kuchangia kile ninachokiona ni sahihi
 
Mbona kwenye page ya Wema hakuna picha ya Mbowe wala habari kama hii? Acheni kutupotezea muda
 
Watu wengine washamba kweli, alietoa habari ni ProfessorJ, Wema ame like tu, kwenye page ya Wema hakuna kama hicho, basi andika na baba tale amehamia chadema maana nae ame like
 
Wanachama kama hawa wanafiki wanapswa wahamie ACT_wazalendo chadema tunahitaji wale walioko tayari huyu hayuko tayari kwenye uchaguzi Alikuwa mnafiki leo yamemfika anakimbilia huku kujificha abaki huko huko
Ukisema hivyo, unakosea hata mamvi, sumae, kingunge , hao wote walikuja baada ya kukatwa kwa mamvi, hata ulipoanzishwa UKAWA, walikua wskiupinga, je hawa huoni kuwa ni wanafiki? .
 
Lowasa alijisafisha wapi baada ya kumshutumu nchi nzima kuwa ni fisadi mkubwa?!
 
Wema Aibwaga Rasmi CCM Ajiunga Chadema.
Tuesday, February 21, 2017

Hatimaye mwana dada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi

Hapo mwanzoni zilianza kama tetesi lakini taratibu ukweli wa mambo unaanza kudhihirika siku baada ya siku kuwa Wema si kada tena wa CCM na hivyo basi CCM wamepata pigo kubwa sana kumkosa huyu mtu kwa kuwa anawafuasi wengi saana ambao wapo tayali kumfata kokote kule aendako

Na kwa kuonesha msisistizo zaidi Wema ameonesha mahaba mazito kwa mheshimiwa Freemaan Mbowe ikiwemo ku like picha zake nyiiingi huko Instagram

 
Wabongo acheni wizi aisee

Hii habari nimeianzisha mimi masaa kadhaa yaliyo pita

Muungwana blog wakaniibia habari yangu wakaippost kwenye blog yao

Halafu na wewe pia umeiba habari hiyo hiyo umeirudisha tena JF

Broo tumia kichwa chako kutengeneza habari usipende mtelezo kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…