Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,281
- 893
Mbona me nimilike na me ni ccm pure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sio ndogoKama ni kweli ccm kazi wanayo 2020
Mimi ni CDM zaidi yako, unavyonihusisha na CCM sikuelewi kabisa, ila ukada hawezi kunifunga kuchangia kile ninachokiona ni sahihiHa ha ha ha
Endelea kujifariji tu
Na Wema safari hii hayuko radhi kuwapigia promo hata mkimpa vihela vyenu
Mkuu hiyo buana huwa wanatumia dada zetuThread zingine buana.
Ukisema hivyo, unakosea hata mamvi, sumae, kingunge , hao wote walikuja baada ya kukatwa kwa mamvi, hata ulipoanzishwa UKAWA, walikua wskiupinga, je hawa huoni kuwa ni wanafiki? .Wanachama kama hawa wanafiki wanapswa wahamie ACT_wazalendo chadema tunahitaji wale walioko tayari huyu hayuko tayari kwenye uchaguzi Alikuwa mnafiki leo yamemfika anakimbilia huku kujificha abaki huko huko
Lowasa alijisafisha wapi baada ya kumshutumu nchi nzima kuwa ni fisadi mkubwa?!Sawa!! Ila isiwe tu kuwa amekuja kujisafisha huku! Ningemshauri ajisafishe akiwa hukohuko kwanza! Akishakuwa safi ndiyo aage! Reputation yake itaenda juu zaidi! Maana kama ataingia humu akiwa bado na kinyesi hao inzi wanaomsumbua huko watakuja kutusumbua na sisi huku!!
Imeandikwa wapi kwenye vitabu vya sheria za matumizi ya maneno mkuu?Mkuu hiyo buana huwa wanatumia dada zetu

