Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

Mama kaondoka sasa tuna mama wa kambo lazima nyumba inuke tu.Coz yeye anachuna tu hali mtu.
 

Kila chama ,kila mtu. Kinachojua wapi kinakwenda. Na anayejua kujitambua wapi anakwenda ,nini anataka ,na yeye ni nani ---kinajiwekea masharti na target. The end will not justify any means in so far as they do not conform to its or his or her beliefs.Leo wewe msomi. Mana ndo mnajivyojihita wanajamii UNATAKA KUSEMA HAIJALISHI MTU NA TABIA NK. MRADI AJE KWETU. du hakuna atakayeweza kuwaongoza nyie sio Mbowe ,Lisu wala Lema .You are Beyond REPAIR. Na kwa kuwa mnatumia vitu fulani mtakumbilia maneno bila kujiuliza nabkutafakari the klux of the Matter
 
Huo ndo mkakati mpya wa Mh.Mashinji kutafuta wanachama kupitia semmbe...Kwel katibu mkuu chadema ..umebaki pambo tu.
 
Mi niionavyo kwa uhai wa cdm na upinzani nchini ni ujinga kumpokea Wema chamani, ila ni ujinga zaidi kuendelea na huyu mwenyekiti. Nadhani kuna chama cha upinzani kitakipoka ccm madaraka. Ila kwa mienendo hii ni kwa miujiza tu hicho chama kuwa ni cdm.

Sijui mmelewa ulevi gani hapa, hamjifunzi hata kwa makosa yenu wenyewe. Cdm iko ukingoni kinaelekea kufa/kupotea mazima. Kinajipelekapeleka tu pasi miiko ya chama, Sera wala itikadi. Chama cha mihemuko. Mtajitetea eti ccm mbona nao wako hivyo, sa kama mnafanana yanini mabadiliko?

Mmetuaminisha ninyi ni tofauti, kumbe inaweza kuwa ni kweli si kila mabadiliko ni mema. Mengine ni ya kuelekea shimoni. Siamini kama cdm watampokea huyu kwa kujidanganya kuwa ni asset. Jifunzeni, mlishapoteza silaha kali sana, vita dhidi ya ufisadi. Sijui mnataka mpoteze kila kitu, nawakumbusha kuwa mvua zinanyesha nchini.
 
Hao hao walitembea nchi nzima kuifagilia fisiem tukawambia chama kinawenyewe hicho
Hata huku nako atahama tu
 

Una matatizo kichwani. Your thinking is far below average! Read between the lines and understand the posting before commenting on it. Hii ni JF siyo mataputapu club, please.
 
Watu mkionyeshwa madoa yenu eti mnatangaza kuhama chama si mjilekebishe hata kama ukihama kama mchafu ni mchafu tu , kuhama sio sukuhisho
 
Kwa hyo wao serikari ilikuwa inafanyia hzo muvi..sipendi ccm lkn huyo wema apeleke upuuzi wake huko kwani yy awepo au asiwepo analeta impact gani ktk nchi mfyuuuuu nawachukia mnaompa kichwa hili taifa gani lkn linaloshabikia wapuuzi
 
Aliondoka lowasa, kingunge, sumaye ije kuwa wema acheni masihara basi mbona ni mtu mdogo sana kwenye chama huyu... Kijana usiwajibishwe ukifanya kosa tukihofia mtu atahama chama haahahaahahahaha..... Let her go for good or worse
Pigo baada ya pigo.mtabaki wasukuma tu huko!...
 
Hahahaaaa Lowassa alisafishwa na ccm kisha akasuuzwa na chadema!! Au umesahau ile kauli ya chama Dola kuwa mwenye ushahidi juu ya ufisadi wa Lowassa aende mahakamani? Nani aliwahi kwenda? Kama ccm mumepata huo ushahidi pelekeni tu!hamjachelewa
 
kaka umemaliza kila kitu.....ccm tunajiweza kwanza hatuoni mchango wake kwny chama chetu zaidi wanakitia doa aondoke aende akasafishwe uko chadema
Aiseee ccm.ndo.mnajitetea hivi kumbe
mnajiweza mnasema..
ama kweli shukrani ya punda ni mateke
wakat anafanya kampen ya mama ongea na mwanao mlikua mnaona ndio ana mchango sio? Leo hana mchango kwa kuhamia kwingine
sababu mmemzushia uongo baadhi yenu wana ccm akiongozwa na daudi bashite na kum harass kwenye hadhira...na pia daudi bashite kunyimwa "tunda" ndo ikawa balaa zaidi..
 
Huyu dada atakuja kuukwaa ubunge wa kuteuliwa huyu...kupitia chadema nimestukia dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…