Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

Mnazingua mjue.....nna hasira sana na pogba
 
Kila la heri safari njema, ukirudi utapokelewa ila utakatwa mkia
 
Mkuu sio like tu mpka koment yake inadhihirisha hilo

Pia watu wa karibu wa Wema nao pia wanasema hivyo

Mwanzoni ilikuwa kama tetesi ila taratibu inaanza kudhihirika
Subilia tamko lake mwenyew sio vitetes uchwara hapa. Watu watasema meng sana kutokana na kesi yake.
 
Lililo kubwa linaloniumiza kichwa, ni kwanini hawa watu hawajifunzi kwa makosa ya awali ya kujikusanyia mamizoga na kuleta uvundo nyumbani? Nyumba iliyokuwa ikiaminika kuwa ni safi kunuka ni kashfa kubwa.

Ningekuwa ni mtendaji wa hicho chama nisingeweza kumkubalia ajiunge. Kashfa zake azisafishe kwanza. Ni asset au liability, mmeachiwa kakanuni hako.
 
Ha ha ha ha

Hata Lowasa mlisema hivyo hivyo lakini aliwahenyesha haaswaaa
Unaona sasa?? Lowassa alimhenyesha nani?? Kwahiyo kwa akili zako unadhani mi naweza kushabikia liChama la Majambazi?? Mi si mwanachama wa chama chochote cha siasa... na ikitokea ikawa ni lazima nijiunge na chama cha Siasa, CCM haiwezi kuwa chaguo langu. Chama kina wenyewe na wenyewe wanazijua akili zao mbovu...
 
Sio tamaa

Amechoshwa na hii serikali ambayo imeshindwa kuwaendeleza vijana ,imeshindwa kuendeleza sekta ya michezo, muziki na sinema

Bongo muvi ishakufa tayali na sekta ya michezo inaenda kufa kwa kuwa wachezaji hawapewi motisha kama kipindi cha kikwete
Toka uzaliwe michezo na Sana'a imeshakusaidia nn au kuisaidia nn nchi??? Ife kabsa maana haisaidii wahusika zaid ya kuwanyonya na kuwaingizia viongoz wake mahela tu,bora ife tu sitapungukiwa na cchote
 
Hahahaa sishangai hata hivyo cdm imeshaheni vibaka na mateja wengi tu na wanywa viroba
 
2015 hawakuwa na ufikiri wa kuwaza nje ya box kama life litakuja kutaiti huko mbele!
 
Hatimaye mwana dada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi

Hapo mwanzoni zilianza kama tetesi lakini taratibu ukweli wa mambo unaanza kudhihirika siku baada ya siku kuwa Wema si kada tena wa CCM na hivyo basi CCM wamepata pigo kubwa sana kumkosa huyu mtu kwa kuwa anawafuasi wengi saana ambao wapo tayali kumfata kokote kule aendako

Na kwa kuonesha msisistizo zaidi Wema ameonesha mahaba mazito kwa mheshimiwa Freemaan Mbowe ikiwemo ku like picha zake nyiiingi huko Instagram

View attachment 472975

Haya saaaaasa Aluta kontinuaaaaa muvi ndo kwaaaaanza linaanza
Atamzidi Lowasa? Yupo wapi na hao wabunge wake? Chezea chama kubwa we we!
 
Aiseee hivi ile application yake imeishia wapi?maana hata timu yake hawaitangazi kabisaa(kuwa na team maskini napo mzigo,bora team zari hawategemei matangazo na matusi special kwa kujaza followers ili kuendesha maisha yao)
 
Hatimaye mwana dada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi

Hapo mwanzoni zilianza kama tetesi lakini taratibu ukweli wa mambo unaanza kudhihirika siku baada ya siku kuwa Wema si kada tena wa CCM na hivyo basi CCM wamepata pigo kubwa sana kumkosa huyu mtu kwa kuwa anawafuasi wengi saana ambao wapo tayali kumfata kokote kule aendako

Na kwa kuonesha msisistizo zaidi Wema ameonesha mahaba mazito kwa mheshimiwa Freemaan Mbowe ikiwemo ku like picha zake nyiiingi huko Instagram

View attachment 472975

Haya saaaaasa Aluta kontinuaaaaa muvi ndo kwaaaaanza linaanza
Hahaha..ngoja nicheke. Mende kuangusha kabati?
 
Back
Top Bottom