Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nimekuonea huruma tu.Ningeweka usingelala leo...lol
Ahsante kwa kunionea huruma siku hiz sipendi kuona vitu vya kutisha tisha au kusikia mambo ya huzuni,,napenda kuona mazuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuonea huruma tu.Ningeweka usingelala leo...lol
Ahsante kwa kunionea huruma siku hiz sipendi kuona vitu vya kutisha tisha au kusikia mambo ya huzuni,,napenda kuona mazuri tu
Hahaaaaa,mwanamke nywele bibi!
pichani huyo kafanana na Wema ni shangazi/ma mkubwa ake au?
BEAUTIFUL-Onyinye, Wema Sepetu Madam amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu macho yangu, situmii tena, alisema Wema.
Rangi ya Ngozi --------------------- Bandia
Kucha ------------------------------Bandia
Kope ------------------------------- Bandia
Nywele -----------------------------Bandia
Nyusi -------------------------------Bandia
Halafu anajiita mrembo.
Do I know you!Jajajjajaaj alafu wewe kiboko
Halafu hapo ujue kuna mtu analazimishwa kusema "baby, that looks so pretty on you".