Wema ajuta kuweka kope za bandia

Nimekuonea huruma tu.Ningeweka usingelala leo...lol

Ahsante kwa kunionea huruma siku hiz sipendi kuona vitu vya kutisha tisha au kusikia mambo ya huzuni,,napenda kuona mazuri tu
 
Hahahahaaaaa mwaka wa furaha huu.Huzuni,stress tupa kule kwa mange na wema.
 
Rangi ya Ngozi --------------------- Bandia
Kucha ------------------------------Bandia
Kope ------------------------------- Bandia
Nywele -----------------------------Bandia
Nyusi -------------------------------Bandia

Halafu anajiita mrembo.
 
Dah huyu dada mzuri sijapata kuona .
 
Hapa wanaocomment wengi wana wivu na beautiful wema.
 
Rangi ya Ngozi --------------------- Bandia
Kucha ------------------------------Bandia
Kope ------------------------------- Bandia
Nywele -----------------------------Bandia
Nyusi -------------------------------Bandia

Halafu anajiita mrembo.

Tako.........bandia
Kidevu......kakipandisha
Titi.........kalisimamisha (yasemekana)
 
Ni vizuri kaamua kuachana nazo. Akiendelea hivyo atarudisha uzuri wake wa asili.
Kuna kitu kinanipumbaza, why people have so much hate and they can't see how it make them small......kweli hate can blind, literally blind
 
Rangi ya Ngozi --------------------- Bandia
Kucha ------------------------------Bandia
Kope ------------------------------- Bandia
Nywele -----------------------------Bandia
Nyusi -------------------------------Bandia

Halafu anajiita mrembo.

Kila kitu bandia halafu anataka real man???!!
 
Hv na ninihii yake ni tamu km sura yake?
 
mie hayo madude sijawahi kubandika......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…