Wema amempongeza Kim Kardashian kwa kutumia Lipstic yake

Kaka Salaam.
Hivi ana Kiwanda wapi? Naona bidhaa zake zinafika Marekani wakati hapa Bongo hatujui?

Dah mkuu Kuwa na bidhaa sio lazma umiliki kiwanda....Kwani bidhaa kufika marekani kuna ajabu gani dunia ya leo..Hata wewe unaweza ukauza ubuyu ukafika marekani...Unaishi wapi mkuu...Na usiseme hatujui..
 
Atumiwe wapiiiiiii
Mbona imeshatumwa hiyo hapo juuu au ndo umekurupuka tuu kujibu bila kupitia comments zote mkuu
Hebu rudi uangalie vizuri sceenshot hyo hapo juu kim mwenyewe kasema makeup yake imetoka kwa nani na hakuna dalili zozote na lipstic ya wema hapo, ni kick tuu za kiuchwara mjini
 
Mkuu jitahidi kuelewa kabla hujaropoka...Mimi nazungumzia screenshot ya comment ya wema...Kama ipo hapo basi macho yangu mabovu
 
Dah mkuu Kuwa na bidhaa sio lazma umiliki kiwanda....Kwani bidhaa kufika marekani kuna ajabu gani dunia ya leo..Hata wewe unaweza ukauza ubuyu ukafika marekani...Unaishi wapi mkuu...Na usiseme hatujui..
Mkuu kuwa na bidhaa na kuuza bidhaa ni vitu viwili tofauti, Manake hapa unazungumzia issue ya kumiliki alama ya biashara yenye jina lako! ambapo sasa bidhaa yako imeandikishwa na inatambulika kimataifa katika ubora, ndipo sasa unaweza kusema kuwa una bidhaa.
Bidhaa kama ubuyu huwezi kusema hii ni bidhaa yangu!! ubuyu si kila mtu anauza tu!!
 
Khaa!!...Sasa unamaanisha wewe hujui kama Wema ana lipstick zenye jina lake au unataka kunipotezea muda tu nionekane namtetea sana huyu binti........Na hilo sharti lako la kuwa ili uwe na bidhaa lazma itambulike KIMATAIFA kwa ubora sijui umelitoa kwenye kitabu gani...Na hata huo ubuyu niliozungumzia si unasajili tu na kubandika label yako....Ukawa na ndugu anaenda marekani ukampa pakti kumi akaweka kwenye mizigo yake zikafika marekani....Mbona unataka kucomplicate sana maisha mkuu
 
Mkuu nimecheka sana baada ya kukusoma, haya bana. Mi sijui kama wema anatengeneza Lipstic, we unayejua embu tuwekee sample yake moja tuone basi.
 
Thanx, Ni nzuri hii itasaidia watu wengi(Na mimi nikiwa mmojawapo) angalau kufahamu kuwa Wema ana kitu anafanya, Mtizamo wengi ulikuwa negative kidogo.

Na hii nembo ya Kiss ni nzuri, je kama angeweka ionekane tofauti kidogo?

Na hii nembo ya Kiss ni nzuri, je kama angeweka ionekane tofauti kidogo?
Yaani: KISS

Thanx, Ni nzuri hii itasaidia watu wengi(Na mimi nikiwa mmojawapo) angalau kufahamu kuwa Wema ana kitu anafanya, Mtizamo wengi ulikuwa negative kidogo.

Na hii nembo ya Kiss ni nzuri, je kama angeweka ionekane tofauti kidogo? ( Yaani: Kiss
)

Hahahaha.....Wasiliana nae mkuu
 
thubutuu yakeee! atakua kim kadushu wa kibosho sio kim wa kanye
 
Naona wanaume wa Dar mmeamua kumvalia kibwebwe na kumpa mchambo uliotukuka Le Mbebezzz Sepetunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…