Wema amempongeza Kim Kardashian kwa kutumia Lipstic yake

Ana Kiwanda Wapi ?
Mpaka Atengezeze Lipsticks! !!
Wabongo Wanajambajamba
Labda nikusahihishe kidogo. Kutengeneza bidhaa so lazima uwe na kiwando haya ni mawazo ya karne ya 18. Siku hizi una design bidhaa yako unapeleka kwa kampuni yeyote yenye viwanda inakutengenezea kutokana na specifications na design yako na packaging yako binafsi. In Europe nad US kuna watu wanamiliki bottling plants kwa ajili ya kuzalisha vinywaji vya watu wengine wenye brands tofauti, plant hiyohiyo inaweza kuzalisha Coca-Cola, juices za makampuni mengine. Kwahiyo wema anaweza kuwa na brand yake ya lipstic na akamtaka mtengenezaji popote pale duniani atengeneze kama yeye anavyotaka. Muwe natabia ya kujisomeasomea kidogo haya mambo kuongeza uelewa sio kuja tu kwenye forum na kuandika usichokuwa na uhakika nacho.
 
Kumar.mae aache uongo nimegoogle ad vidole vinauma, no such thng
 
Kwan ajabu nini Kim kupaka lipstick ya Kiss by Wema?au huyo Kim ni mungu flani hivi ama nini?acheni hizo bana
 
Siogopi ban Ila sijaona tusi jipya la kukutukana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…