Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mambo ya msaga sumu haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikusahihishe kidogo. Kutengeneza bidhaa so lazima uwe na kiwando haya ni mawazo ya karne ya 18. Siku hizi una design bidhaa yako unapeleka kwa kampuni yeyote yenye viwanda inakutengenezea kutokana na specifications na design yako na packaging yako binafsi. In Europe nad US kuna watu wanamiliki bottling plants kwa ajili ya kuzalisha vinywaji vya watu wengine wenye brands tofauti, plant hiyohiyo inaweza kuzalisha Coca-Cola, juices za makampuni mengine. Kwahiyo wema anaweza kuwa na brand yake ya lipstic na akamtaka mtengenezaji popote pale duniani atengeneze kama yeye anavyotaka. Muwe natabia ya kujisomeasomea kidogo haya mambo kuongeza uelewa sio kuja tu kwenye forum na kuandika usichokuwa na uhakika nacho.Ana Kiwanda Wapi ?
Mpaka Atengezeze Lipsticks! !!
Wabongo Wanajambajamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolHahaha....kweli watanzania Wema anatutoa kimasomaso in Nape Nnauye's voice[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ni mimi, bado nasubiri ili nijue km hii habari ni ya kweli au la! Nashindwa kuponda vizuri..teh tehHuyo mtu aliyeomba hy screen shots katumiwa?au bd anasubiri?
Acha upumb.v ww unamjua Kim unamskia?Kwan ajabu nini Kim kupaka lipstick ya Kiss by Wema?au huyo Kim ni mungu flani hivi ama nini?acheni hizo bana
Tuende mbele turudi nyuma. Kim hawezi kutumia lipstic ya kiss by wema sepetu.Kwan ajabu nini Kim kupaka lipstick ya Kiss by Wema?au huyo Kim ni mungu flani hivi ama nini?acheni hizo bana
Uko sahihiTuende mbele turudi nyuma. Kim hawezi kutumia lipstic ya kiss by wema sepetu.
Tungeweka monument nyingine mwenge ama magomeni ya wema. Basi tu hatuabudu vipaji vyetu.[/
Nevaaa, huyu jamaa wa tandale nn? Goddamnit!Tuende mbele turudi nyuma. Kim hawezi kutumia lipstic ya kiss by wema sepetu.
Siogopi ban Ila sijaona tusi jipya la kukutukana mkuu![]()
Mnyange na mfanyabiashara wa vipodozi jijini Dar es salaam amempongeza her American counterpart kwa kuweza kutumia bidhaa zake za midomo.Hali hiyo ilitokea baada ya Kim kuweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo Wema alikoment maneno haya huku akitumia hashtags kibao "Thank you sweetheart kwa kutumia bidhaa zangu #KissbyWema #TeamWema #MadamRange #TeamSonny #Wanawaketunaweza #huuMchezohauhitajiHasira #HapaKaziTu #MissTz2006 #BetAwards.
Mimi binafsi nampongeza kama ni kweli kavuka mipaka