Wema amenishangaza kwa kauli ya "yeye na uzungu wake"

Ahahahahaaaa yeah right!

Huu ndo 'Uzungu' wake.

Hebu yasikieni hayo matusi ya 'Mzungu'.


'Mzungu' in action...


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
huyu askari alikuwa anafanyaje hapa hahahaha halafu huyu si mwanaume alishidwaje kumpchapa hata vibao
 
Ahahahahaaaa yeah right!

Huu ndo 'Uzungu' wake.

Hebu yasikieni hayo matusi ya 'Mzungu'.


'Mzungu' in action...


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huo uzungu au uswahili daraja la kwanza[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ahahahahaaaa yeah right!

Huu ndo 'Uzungu' wake.

Hebu yasikieni hayo matusi ya 'Mzungu'.


'Mzungu' in action...


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Uzungu hata siujui[emoji126][emoji126][emoji126]
Mtoto Sonia mimi nikuzimiaaa,
Katika kukupenda mimi nimeonesha nia,
Soooooonia,nia,ninakupendaa,
Ninakupendaa, tupeane dendaaa
(In Nature voice)
Dah jina lako limenikumbusha hii ngoma ya Juma Nature [emoji1]
 
Halafu katika viingereza vyake fekero anapenda kutia neno "ama" yani hapo tu nabadilisha chaneli
 
Anasema uzungu sababu ya kuongeza matako ya kichina.
 
hivi kwanza wazungu ni akina nani hasa???
na hili neno la uzungu limetoka wapi hasa.?
 
Infinity complex inamsumbua tu huyo mdada....uzungu bongo?????
 
Ahahahahaaaa yeah right!

Huu ndo 'Uzungu' wake.

Hebu yasikieni hayo matusi ya 'Mzungu'.


'Mzungu' in action...


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hiyo English yake ndo imeniacha hoi.
Alafu eti huyo ndo socialite wa bongo.
Sometimes i wish i hadn't been born in this part of the globe!
 
Kuna movie moja ameekt ni mke wa patcho, akaachika akawa mke wa nani sijui akaachika, akawa mke wa jb naona alikua anaigiza huo uzungu.... Movie inanipa kichefuchefu basi tu ilikua imewekewa kwenye bus
 
Kuna movie moja ameekt ni mke wa patcho, akaachika akawa mke wa nani sijui akaachika, akawa mke wa jb naona alikua anaigiza huo uzungu.... Movie inanipa kichefuchefu basi tu ilikua imewekewa kwenye bus
Haaa haaa Eve bana...eti ilikuwa kwenye bus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…