Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yani kuna part moja anarudi nyumbani kalewa eti anamuimbia jb nibebe nibebe nibembeleze nibebe aagrrr qmamaeHaaa haaa Eve bana...eti ilikuwa kwenye bus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kuna part moja anarudi nyumbani kalewa eti anamuimbia jb nibebe nibebe nibembeleze nibebe aagrrr qmamaeHaaa haaa Eve bana...eti ilikuwa kwenye bus
Eti nae anakimbia...wanaume wa Dar bana[emoji1] [emoji2]huyu askari alikuwa anafanyaje hapa hahahaha halafu huyu si mwanaume alishidwaje kumpchapa hata vibao
hahahahaEti nae anakimbia...wanaume wa Dar bana[emoji1] [emoji2]
huku mtaani mtoto akiwa mweupe anasifiwa mzuri... akiwa mweusi anapotezewa.. deeply anapoteza kujiamini anaamini weupe ni thamani akikua kidogo anakimbilia mikorogo.Ni wachache sana, na kilichopelekea hapo ni pressure, hollywood movies zilianza zamani tu kuonyesha mwanamke mweupe kua ni mzuri kuliko mweusi, society ikaiga, sehemu zote wakaanza kufanya hivyo, siku hizi hata wasanii wa bongo wakifanikiwa tu wanakimbilia kuweka weupe tu kwenye video zao, nyimbo za matatizo ndio watarudi kuchukua wadada weusi. Msichana gani atapenda weusi kwa pressure yote hii?
Binadamu vila.za kazi sana kudeal nao, hili hata hawalioni.
Kuuuumbe wema ni msingida? Ndio maana.Kumbe wazawa wa Singida ni wazungu!😉
Ndio ni mzaliwa wa Singida, umesahau hata mwaka jana alienda kuwania viti maalum huko vya sisiem ila kura hazikutoshaKuuuumbe wema ni msingida? Ndio maana.