leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
lifestyle yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahhaha. nasubiri majibu tujue huo uzungu. lolmfaoHabarini Wadau,
Usiku huu katika taarifa ya habari ya TV1, habari ikielezea uhamasishaji wa wasanii kuupa kipaumbele miziki yenye mahadhi ya uswahili kama segere na singeli nimemsikia Wema Sepetu akihojiwa na kuzungumza haya:-
"Mimi pamoja na uzungu wangu lakini huwa napenda nyimbo zenye uswahili kama hizi"
Kwa aliyeelewa vizuri hiyo kauli ya Wema ilimaanisha nini? Wema ni Mzungu?
Nawasilisha.
Ahahahahaaaa yeah right!
Huu ndo 'Uzungu' wake.
Hebu yasikieni hayo matusi ya 'Mzungu'.
'Mzungu' in action...
😀😀😀😀
Ahahahahaaaa yeah right!
Huu ndo 'Uzungu' wake.
Hebu yasikieni hayo matusi ya 'Mzungu'.
'Mzungu' in action...
😀😀😀😀
hahaha nacheka sna aisee. eti uzungu wke ndo huo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahhaha. zero brain ni tatzo kbwa nchi ytu.Kwanza sikutaka kuamini masikio yangu juu ya kile nilichokisikia. nikamuuliza mwenzangu,
"Eti Wema amesemaje?"
"Amesema yeye pamoja na uzungu wake wote bado anapenda mambo ya uswahili kama yale...."
Nikasema hapana kwa kuwa hii tv ni ya zamani itakuwa imeanza kutupa habari zisizo za kweli.
Sasa saa hizi nimeingia humu nimeikuta tena hii habari, kwanza nikatikisa kichwa kwa dharau halafu ghafla nikakumbuka huyu amewahi kutaka kugombea ubunge kupitia CCM na alipita kila mkoa kumnadi Mr Alcohol... "Sio ajabu hawa ndio tuliochagua kuwakabidhi nchi yetu eti wamesema wataifanya iwe ya viwanda hahahahahah."
Watu wanaohusisha ustaarabu au tabia fulani fulani na Uzungu ni wazi hawajaishi na Wazungu kwa muda mrefu.
Kwa sababu, kwa mtu yeyote aliyeishi na Wazungu kwa muda mrefu basi lazima atakuwa anajua kuwa hata wao wapo wengi tu wenye tabia za ajabu ajabu kama uhasidi, upekepeke, umbeya, uasherati, na kadhalika.
Hebu ona hawa Wazungu wanavyosutana na kurushiana ngumi halafu nambie wana tofauti gani na watu wengine..
Watu wanaohusisha ustaarabu au tabia fulani fulani na Uzungu ni wazi hawajaishi na Wazungu kwa muda mrefu.
Kwa sababu, kwa mtu yeyote aliyeishi na Wazungu kwa muda mrefu basi lazima atakuwa anajua kuwa hata wao wapo wengi tu wenye tabia za ajabu ajabu kama uhasidi, upekepeke, umbeya, uasherati, na kadhalika.
Hebu ona hawa Wazungu wanavyosutana na kurushiana ngumi halafu nambie wana tofauti gani na watu wengine..
Yote tisa mama yake kwenye usiku wa kigoma sijui kigodor kafata nini!!Wema bhana!
Hahah mkuu,nlivyoona hayo ma trucks tu nikajua watakuwa wale mnaowaita ma rednecks,wazungu waswazi.
Mkuu yeye wala sio wakumlaumu sana mana hana alijuwalo,wakuwalaumu ni wale walomfanya awe supastaa na role model wa mabinti wa skuizHuo sio 'uzungu'?
Au yeye anazungumzia uzungu upi labda?
Mwisho wa siku ujinga bado ni adui mkubwa kwenye jamii yetu.
Alimaanisha lifestyle yake ni ya kizungu.
mfano mzuri kwenye tamthilia zaoMh, hamnaga watu wa drama za chini chini na wambea kama wazungu. Nashangaa tu tunavyojifananisha nao
Hebu niambie ni maisha yapi ya Wema sepetu yaliyo ya kizungu?True, mleta mada kaelewa Ila majungu tu
Hebu niambie ni maisha yapi ya Wema sepetu yaliyo ya kizungu?
Nipe mifano hapa.