Wema amenishangaza kwa kauli ya "yeye na uzungu wake"

huku mtaani mtoto akiwa mweupe anasifiwa mzuri... akiwa mweusi anapotezewa.. deeply anapoteza kujiamini anaamini weupe ni thamani akikua kidogo anakimbilia mikorogo.
 
Kwanza naomba kuuliza kwani hayo matusi alikuwa anamporomoshea nani, maanake mpaka sasa siamini nilichokiskia, naomba jibu liwe ni wale mbwa wake
 
Tatizo madada zetu wa kiafrika mabongo yao yamepigwa minyororo ya fikra finyu.
 
Sidhani kama kuna mtu hajapenda singeli hata Wema na "uzungu"wake kaipenda
 
Bora Wema anaitwa hata Wema Sepetu kuna watanzania wanaitwa Peter Paul Charles au abdallah Mohammad Ally wengine siku hizi wanaitwa Cookie, Sean, Washington nk. Unajiuliza huyu ni mtanzania au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…