warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kwa wale wanaosomea marketing au sheria watakua wanaelewa zaidi mambo ya BRAND PERSONIFICATION , na intellectual property rights ( patents , copyrights, trademark n so on). Wasanii wengi wanakua na majina tofauti ambayo yanawatambulisha kwa audience yao, ni kama majina yanayotambulisha biashara zao , kampuni n.k. Hivyo mtu anapokua amejipa jina na hilo jina kufahamika vizuri, ni vyema akaenda kusajili sehemu husika, hivyo kumfanya mtu au kampuni kumiliki kisheria jina hilo , na endapo mtu yeyote akibainika kutumia jina hilo basi hatua Kali za kisheria huchukiliwa dhidi ya aliyeiba jina hilo.
Inafahamika kuwa Tanzanian sweetheart , ni jina alilopewa mrembo wema sepetu na kulikubali na linaonekana kufanya vizuri, Ila sina uhakika kama amesajili jina hilo kuwa mmliki halali au kama jina lake la biashara.
Watu wanalalamika ooh wema mpumbavu analilia jina , sio upumbavu, ile ni brand yake, Ana haki ya kuililia na kuipigania, tatizo wasanii wetu elimu kidogo imepita Kushoto na ndio maana mambo kama haya wanayachukulia poa.
NB: by the way Kama kuna wanasheria au watu waliosomea marketing and business watakuja kutufafanulia vizuri kuhusu brand personification and intellectual property rights
Warumi [emoji847]