Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hata mi Ni G sweetheart
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania NyumbuNyumbu anahaha!
Mbona hamissa mwenyewe hajatamka kama hilo jina analitaka?kwa nn mumuattack Mobetto na si team yake? Coz team yake ndio inamuita na so yy anayejiita inaonekana Mobetto Ni tishio sana ndio maana mnauattack sanaKisheria ndio , kama hajasajili Hana haki ya kushtaki popote , yet why mtu utumie jina ambalo unajua kabisa mtu flani anatumia, that's so unprofessional and amateur especially kwa hamisa ambaye ana marketing manager msomi tu
😛😛😛😛😛😛Ngoja team Manzese sweetheart waje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Linaweza ilaa hakuna Product tokana na hilo jina currently so watu wanalichukua tuuSo jina haliwezi kuwa brand mkuu?🤷🏾♂️🤷🏾♂️
Hivi ushawshi skia hamisa anajiita hvyo?,mbona mwamlisha maneno..hizi timu binamu zinazidi jamani sasaKisheria ndio , kama hajasajili Hana haki ya kushtaki popote , yet why mtu utumie jina ambalo unajua kabisa mtu flani anatumia, that's so unprofessional and amateur especially kwa hamisa ambaye ana marketing manager msomi tu