Wema Ana haki ya kulilia Tanzanian sweetheart , ni brand yake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kwa wale wanaosomea marketing au sheria watakua wanaelewa zaidi mambo ya BRAND PERSONIFICATION , na intellectual property rights ( patents , copyrights, trademark n so on). Wasanii wengi wanakua na majina tofauti ambayo yanawatambulisha kwa audience yao, ni kama majina yanayotambulisha biashara zao , kampuni n.k. Hivyo mtu anapokua amejipa jina na hilo jina kufahamika vizuri, ni vyema akaenda kusajili sehemu husika, hivyo kumfanya mtu au kampuni kumiliki kisheria jina hilo , na endapo mtu yeyote akibainika kutumia jina hilo basi hatua Kali za kisheria huchukiliwa dhidi ya aliyeiba jina hilo.

Inafahamika kuwa Tanzanian sweetheart , ni jina alilopewa mrembo wema sepetu na kulikubali na linaonekana kufanya vizuri, Ila sina uhakika kama amesajili jina hilo kuwa mmliki halali au kama jina lake la biashara.

Watu wanalalamika ooh wema mpumbavu analilia jina , sio upumbavu, ile ni brand yake, Ana haki ya kuililia na kuipigania, tatizo wasanii wetu elimu kidogo imepita Kushoto na ndio maana mambo kama haya wanayachukulia poa.

NB: by the way Kama kuna wanasheria au watu waliosomea marketing and business watakuja kutufafanulia vizuri kuhusu brand personification and intellectual property rights

Warumi [emoji847]
 
Kuanza kujiita jina la brand ya mtu mwingine ni kukosa ubunifu. Kwanini usijiite hata #serengetQueen #tzhoney #lovergirl #mabogamawili #mapenzikuroga nk!?

Ni upuuzi tu ambao hauna maana, wasanii wetu akili hawana kabisa , why don't they find something unique and call themselves , kuna majina mengi tu ya kujiita, hiyo ni dalili ya kutojiamini
 
Hata hilo jina #MobettoStyle ni brand tayari. Anachotakiwa ni kukaza boot. Ukianza kukimbilia majina ya brand za wengine ujue kuwa wewe ni weak.
Majina yapo mengi mno. Unaweza ukajiita #tzmama #Venusgirl #tzgift #msambwandakwanza #tzmnato nk.
 
Hata jina la WASAFI si mnakumbuka ilikua patashika Lati ya diamond na Bob junior , now wasafi imekua brand kubwa africa na inafanya vizuri na ilianza kama utani , wasafi team , wasafi company , now wasafi Tv na radio , so people wasichukulie poa , mbona majina yapo mengi tu yamejaa
 
Hiyo haki huwa inasajiliwa na kulipiwa, so? kama ajafanya hivyo hana haki hiyo
 
Hiyo haki huwa inasajiliwa na kulipiwa, so? kama ajafanya hivyo hana haki hiyo

Kisheria ndio , kama hajasajili Hana haki ya kushtaki popote , yet why mtu utumie jina ambalo unajua kabisa mtu flani anatumia, that's so unprofessional and amateur especially kwa hamisa ambaye ana marketing manager msomi tu
 
a smart person anatafuta haki kisheria.... so Wema ndo amateur wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…