Wema Ana haki ya kulilia Tanzanian sweetheart , ni brand yake

Wangeli kuwa wanawania jina kama 'Kilimanjaro virgin' au 'Zanzibarspice' ningewaona wana ujuzi.
 
Hivi yule dogo niliyemuona kwenye clip akienda kuangukia na bunch la maua, mwishowe alifanikisha kukipata alichokuwa anakililia?

Itakua alipata , wema Yule nae hamnazo tu
 
Ila bibie anapenda sana used stuffs.. Kachukua baba watoto wa mwenzie akijua nyota itahamia kwake... Huko kumeshindikana, now anataka nyota ya jina.. Aji brand kivyake tu
 
Wema aende COSOTA akasajili na basata ili apate haki miliki,,,,,,,
 
Tanzania's Sweetheart au Tanzanian sweetheart?

There is a huge difference.
 
Ebu nifafanulie kwanza binamu 🤣🤣
umepooooza banaaa weeeeeeee!
yani kama sijui nani wa kolomije huko!
huwezi zile swag zako tunazijua!
unajibu reply kiaje sijui!
mi bana huninogeiiiiiiii!
 
Hamisa Mobeto nae, dah[emoji18] Mtamfanya Diamond atembee huku kavaa chupi kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…