Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Teh Teh hiyo mchele mchele watakuwa wana msingizia tuu! Hila kwa hilo la Wema sidhani kama Wema yuko serious labda anataka kumtumia OmmyIna maana kwa kuwa kaachana na domo asiendelee na maisha yake?????
Halafu mbona wabongo mmeconclude mapema ilhali hamjui ni nini kinaendelea???
Na si "inasemekana" ommy ni mchelemchele???