Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Atakua amefuata biashura cyo biashara mtaji kiuno
Teynaaaaa .....ukiwa mjanja mjini ni msingi kiuno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua amefuata biashura cyo biashara mtaji kiuno
Toa habari za Wema weka za katiba Mpya
Mwana JF mwenye gadhabu nishafika
Kazi kweli
Ni napita tu
Vipi kwani na wewe una tatizo nini shoga angu???
Labda kama unamaanisha zake yeye
Hapana naskia huwa anatumia kubana issur
Ya ngoswe yasingewekwa hapa....acha ajadiliwe.Ngambaku unajua maana yake??
Hahaaaa katiba nayo ni celebrity jamani???hatari hii
Kama hiyo habari ni ya kweli, huyo binti anatoa wapi pesa za kufanya hayo anayoyafanya?
Na wewe unaamini huu upuuzi? Holiday inn ndio hotel economy popote pale zilipo kasoro Tanzania tu kwa mabwege ya kupigwa kila kitu.
Hahahaaaa....amewahi kufanya biashara ngapi hadi umkubali hivyo???ooh nilisahau wewe ni mbeba pochi wake inawezakana kuna biashara anafanya zaidi ya tujuavyo .....wapi Dinazarde
Nah, I know better.
Na nazijua Holiday Inn vizuri tu.
Lakini, pesa ya kusafiri daraja la kwanza (kama hii habari ni ya kweli) kaitoa wapi huyo binti?
Anafanya shughuli gani zilizo halali zinazomwingizia kipato?
Kwa mfano ile nyumba yake inayodaiwa ni ya milioni 400....huyu binti ambaye hata kuandika vizuri hajui kazitoa wapi hizo hela?
Let's face it...bongo muvi haiuzi kivile. Nadiriki hata kusema bonge fleva ni dili kuliko bongo muvi.
Au ndo yale yale ya akina Sitti Mtemvu? Ujanja ujanja tu....?
Badala afate vipodoz Us anafata China watanunua timu yake waliovaa sare siku zile,wamejazwa kete za madawa makalion hao hawana lolotee
Binamu wivu huo, ngoja mama ubaya arudi kutoka china mtakavyo rushwa roho, maana nimesikia anataka kufungua duka kubwa na litakuwa ndani shopping mall kubwa apa dar kama mlimani,kibp,quality center nk., so msubir maumivu ya moyo,andaeni ndimu kabisa mapema
Binamu wivu huo, ngoja mama ubaya arudi kutoka china mtakavyo rushwa roho, maana nimesikia anataka kufungua duka kubwa na litakuwa ndani shopping mall kubwa apa dar kama mlimani,kibp,quality center nk., so msubir maumivu ya moyo,andaeni ndimu kabisa mapema