Wema aonyesha jeuri ya pesa nchini China

Toa habari za Wema weka za katiba Mpya
Mwana JF mwenye gadhabu nishafika
 
Attachments

  • 1414083536395.jpg
    1414083536395.jpg
    67.5 KB · Views: 818
Kama hiyo habari ni ya kweli, huyo binti anatoa wapi pesa za kufanya hayo anayoyafanya?

Na wewe unaamini huu upuuzi? Holiday inn ndio hotel economy popote pale zilipo kasoro Tanzania tu kwa mabwege ya kupigwa kila kitu.
 
Nah, I know better.

Na nazijua Holiday Inn vizuri tu.

Lakini, pesa ya kusafiri daraja la kwanza (kama hii habari ni ya kweli) kaitoa wapi huyo binti?

Anafanya shughuli gani zilizo halali zinazomwingizia kipato?

Kwa mfano ile nyumba yake inayodaiwa ni ya milioni 400....huyu binti ambaye hata kuandika vizuri hajui kazitoa wapi hizo hela?

Let's face it...bongo muvi haiuzi kivile. Nadiriki hata kusema bonge fleva ni dili kuliko bongo muvi.

Au ndo yale yale ya akina Sitti Mtemvu? Ujanja ujanja tu....?
 
Hahahaaaa....amewahi kufanya biashara ngapi hadi umkubali hivyo???ooh nilisahau wewe ni mbeba pochi wake inawezakana kuna biashara anafanya zaidi ya tujuavyo .....wapi Dinazarde

Badala afate vipodoz Us anafata China watanunua timu yake waliovaa sare siku zile,wamejazwa kete za madawa makalion hao hawana lolotee
 
Last edited by a moderator:
Nah, I know better.

Na nazijua Holiday Inn vizuri tu.

Lakini, pesa ya kusafiri daraja la kwanza (kama hii habari ni ya kweli) kaitoa wapi huyo binti?

Anafanya shughuli gani zilizo halali zinazomwingizia kipato?

Kwa mfano ile nyumba yake inayodaiwa ni ya milioni 400....huyu binti ambaye hata kuandika vizuri hajui kazitoa wapi hizo hela?

Let's face it...bongo muvi haiuzi kivile. Nadiriki hata kusema bonge fleva ni dili kuliko bongo muvi.

Au ndo yale yale ya akina Sitti Mtemvu? Ujanja ujanja tu....?

Labda tu kama huelewi comred nikuume sikio kama huna taarifa, Wema hana hata banda la kufugia bata achilia mbali nyumba, hiyo nyumba ya million 400 alipangiwa na mshamba mmoja hapa mjini wanamwita Clement na nashangaa mtumishi wa serikali anafanya upuuzi wote huu system ipo kimya tu.

Kuhusu kusafiri kwa business class kama ni kweli nalo lisikutishe hizo ni ticket za viwembe nimecheza sana michezo hiyo. Nadhani unafahamu viwembe.
 
Badala afate vipodoz Us anafata China watanunua timu yake waliovaa sare siku zile,wamejazwa kete za madawa makalion hao hawana lolotee

Binamu wivu huo, ngoja mama ubaya arudi kutoka china mtakavyo rushwa roho, maana nimesikia anataka kufungua duka kubwa na litakuwa ndani shopping mall kubwa apa dar kama mlimani,kibp,quality center nk., so msubir maumivu ya moyo,andaeni ndimu kabisa mapema
 
simuombei mabaya ila sijui litadumu
 
Binamu wivu huo, ngoja mama ubaya arudi kutoka china mtakavyo rushwa roho, maana nimesikia anataka kufungua duka kubwa na litakuwa ndani shopping mall kubwa apa dar kama mlimani,kibp,quality center nk., so msubir maumivu ya moyo,andaeni ndimu kabisa mapema

Na ofisi mbwembwe zilikua hivi hiviii,sie yetu macho auseee
 
Back
Top Bottom