Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

ivi huwa nahoji muigizaji maarufu na mkubwa wa filamu tanzania alafu anazaidi ya miaka 5 hana filamu hata moja na hana dalili wala hajiusishi na sanaa hiyo maana yake nini?
 
Threads zingine inatakiwa uwe mbeya na mtu wa kufuatilia maisha ya mtu kuliko maisha yako binafsi. Napita tu
 
Mkuu wewe ni ME au KE?......Kama wewe ni Me halafu unaandika threads kama hizi basi nina wasiwasi na hormones zako.

Ushauri: Acha Umbea
 
Angekua smart kichwani asinge fanya hayo aliyoyafanya kipindi cha kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…