strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Malaya tu huyo nae atulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna Bongo movie ambaye ni smart upstairs!?!?
Sidhani.
Huyo mwingine mbona alikuwa changu wa daudi bashiteWema unamjua kwa Sababu ni changu,hyo mwingine sio changu ndio maana humjui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dogo anacheki pilau.View attachment 475537
[emoji101].........[emoji23] [emoji23]
Acha tyuuuu,nasikia na wa mambo ya ndani pia!Eti anatumia zile ARV ngachoka jinsi amepita na wengi yule.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 475537
[emoji101].........[emoji23] [emoji23]
Hatari sana hii....[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dogo anacheki pilau.
Basi wawekewe jukwaa lao la sivyo jf itapoteza hadhi yake.Wamehamia huku mkuu...
Daudi anapita ka mwewe aiseeHuyo mwingine mbona alikuwa changu wa daudi bashite
Kiruuuuu wafwaaa aisee Batuli ni hatari sana sema silent killer walah na hizo dawa walah atamaliza wengi.Acha tyuuuu,nasikia na wa mambo ya ndani pia!
Uwiiiiiiiii!
Angekua smart kichwani asinge fanya hayo aliyoyafanya kipindi cha kampeniMsanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.
Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.
Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.
Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.
Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo!![]()