I agreeeKuna Bongo movie ambaye ni smart upstairs!?!?
Sidhani.
Kaliwa na nani mkuu?Batul mnafiki tu nayeye Ndo mana kaliwa sana kipind cha Kaole group
Sio change sababu hujui ishu zake au?Wema unamjua kwa Sababu ni changu,hyo mwingine sio changu ndio maana humjui
Yaan hapo ndo lanichoshaWarumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.
Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Upoyoyo unazidiana mkuu...nadhani hata darasani yule mtu anayeshika nafasi ya 30 huwezi mfananisha na mtu anayeshika nafasi ya 20 kiuhalisia lazima wa 20 atakuwa smart kuliko wa 30 na ndivyo ilivyo kwa Batuli na Wema tukiwapambanisha in smartness criteria Batuli ni smart kuliko wemaTukubali Tu hata batuli nae sio smart kama anavyonadiwa na huyu poyoyo,si Wema si batuli wote ndo vile vile ...kwaiyo warumi akitaka kuchamba achambe wote na sio kutoa kiki safi kwa mtu mchafu kama batuli
Kuninukuu inaonesha makavu umeyapata mwanaume tabia za kike hazikufaiWewe ni mmoja wa hao wapuuzi sijui kama unalielewa hilo
Naona umeanza tabia za umbea na kuongea ujinga ujinga atangalia wasije kukusila bure vijana wa mjiniMsanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.
Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.
Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.
Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.
Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo!
Yeye kahama chamaKwani wema ana nini? Mbona naye kaomba kiki kwenye siasa kaona kiki hazipatikani now dayz
Kuna bongo movie gani asiye prostitute???????????Povu linakutoka kwa sababu ya Wema [emoji23] kweli una matatizo by the way dunia nzima inajuwa kuwa wema ni prostitute
Wema namjua Huyu Batuli ndo nan ana movie ipi?
Mbona mnatupa taarfa za machangu
Umbea ndo uliyokufanya unijue, ungekua sio mbea usingenjua
Ohoooooo!!!Ila kuna mmoja anatumia dozi ucje kuta analiaa baada ya cd4 kushuka
Ohooooo!!!Eti anatumia zile ARV ngachoka jinsi amepita na wengi yule.
Ohoooo!!!jamaaa linawapanga tu madada wa bongo movie.Huyo mwingine mbona alikuwa changu wa daudi bashite