Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Wema unamjua kwa Sababu ni changu,hyo mwingine sio changu ndio maana humjui
Sio change sababu hujui ishu zake au?
Kwa Huyo mheshimiwa alienda kufanya nn kama sio sababu ya mapenz?
Hata kama humpend wema sio kiivyo mkuu
 
Warumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.

Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Yaan hapo ndo lanichosha
I seems anaandika kwa mahaba
 
Tukubali Tu hata batuli nae sio smart kama anavyonadiwa na huyu poyoyo,si Wema si batuli wote ndo vile vile ...kwaiyo warumi akitaka kuchamba achambe wote na sio kutoa kiki safi kwa mtu mchafu kama batuli
Upoyoyo unazidiana mkuu...nadhani hata darasani yule mtu anayeshika nafasi ya 30 huwezi mfananisha na mtu anayeshika nafasi ya 20 kiuhalisia lazima wa 20 atakuwa smart kuliko wa 30 na ndivyo ilivyo kwa Batuli na Wema tukiwapambanisha in smartness criteria Batuli ni smart kuliko wema
 
Msanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.

Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.

Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.

Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.

Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo!
7c4166ffaac3ab40871d0290bf47bc5a.jpg
Naona umeanza tabia za umbea na kuongea ujinga ujinga atangalia wasije kukusila bure vijana wa mjini
 
Hayo yote ni kwasababu ya Mr Bashite tumechoka bwana akalete magamba tu maana hamna namna nyingine.
 
Povu linakutoka kwa sababu ya Wema [emoji23] kweli una matatizo by the way dunia nzima inajuwa kuwa wema ni prostitute
Kuna bongo movie gani asiye prostitute???????????

Wengine wanajaza mwendo kasi tatu na bajaji 2

Au kwa kuwa hawawaposti insta???

Hiyo Batuli ana utakatifu gani???
 
Hili jamaa bonge la pimbi kumbe eeeeeehh.. ati Batuli mafias.. Chizi we you must be insanity.. Unawajuwa mafias wee pumbavu eboooooo... Very lowly life scum nasty skendoulous... Just Zipp you're lips [emoji182]
 
Hii nchi ndio maana ni masikini,hivi jitu zima linakuja kuleta umbea humu eti wema na batuli,inatusaidia nini sisi??hivi tz ya viwanda tutaipata kweli??kutwa kusema yasiokuhusu mbururaa kabisa
 
Eti Batuli cjui Bakuli, hamna kitu acha aendelee kupakuliwa mboga.
 
Mbona sijwahi sikia bongo movie wa kiume wakifanya ishu kama hizi,, sijui Ray kamposti jb wakafatana, always girl girl.......Kuna nn behind the scene ???.
 
Back
Top Bottom