Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

kaungua huyo batuli maskini ya mungu, HIV ++++
 
Warumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.

Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Anapenda gari huyo!
 
Huyu naye akwendreeee kimbelembele chake ndio mana bwanake kamkimbia kazi kudanga
Alitoka na batishe kipindi kile anapost manguo na miwan za gharama akajiona kafiiika mwenywe
Ingawa sio team wema
 
Hili jamaa bonge la pimbi kumbe eeeeeehh.. ati Batuli mafias.. Chizi we you must be insanity.. Unawajuwa mafias wee pumbavu eboooooo... Very lowly life scum nasty skendoulous... Just Zipp you're lips [emoji182]
Kaoshe uchi mbwa wewe
 
Warumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.

Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Word

Batuli ndio namsoma leo hapa Jf
 
ndio maana miaka kadhaa iliyopita nilipokuwa nachepuka na kademu fulani kapenda sifa,nilikazuia kujihusisha na bongomuvi pale kalipokuja kuniomba ushauri wa kutaka kuwa kaigizaji.

shenzytype bongomuvi wote.bure kabisa.wajinga mno.
 
Msanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.

Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.

Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.

Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.

Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo!
7c4166ffaac3ab40871d0290bf47bc5a.jpg
Yaani upuuzi mwingine unachekesha sana huo umafia wa Batuli nini haswa na wakati tunamjua vizuri sana huyo Batuli,kwa lipi haswa wote wauzaji tu hao.
 
Back
Top Bottom