Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Duh ndo maana kuna yule msanii gani sijui nimemsahau jina alishaimba ule wimbo unasema "Hii kitu hii kitu hii kitu hii Hii kitu hii...." nimesahau muendelezo wake, anayekumbuka auendeleze
Rasi lion na John walker.hii kitu hii.Mimi ilishasababisha nikala ada ya shule hii kitu hii
 
Mambo yameingiliana sijuwi nani mkweli.
56c352be987307770cd15963cab3b05b.jpg
fedc0e754e2a347ee37a2d210123495a.jpg
 
Ni Steve Nyerere,akiwa na mtu anayejirekodi kwa kumuigiza Wema
Sasa huyo mtu kachoka kurudia mara kwa mara ili aipatie sauti.Ndio maana anasema "Steve mi nimechoka bhana"

Michezo ya vijana wa mjini,wasiofanya kazi kwa kutegemea mizinga ya wanasiasa

Hongera kwa kujitahidi kutoelewa, maana katika kazi ngumu kwenye jambo hili ni kujitahidi na kutafutiza sababu za kutoelewa kuwa ni kweli.
Binafsi naamini issue hii ni kweli na haina ubishi. Ila sioni sababu ya kuichukulia serious. Mbona ni jambo dogo na la kawaida tu hili? Hivi wangapi wangepata fursa ya kuwa na Wema wangeresist?
Hebu muacheni Mbowe jamani.
 
Hapo itakuwa steve haijasikika vizuri. Stebe nyerere huyo
 
Steve nyerere mzee wa masauti sanaa yake kwa upande wake anaitumia vizuri kwa upande mwingine anaitumia vibaya
 
Hata hii sauti siyo ya wema mbona sauti zenyewe zina fanana halafu wameweka na mwangwi iwe kama kaongelea ndani hahahahah chama kikuu sasa kimeshikwa na wahuni ni utoto mtupu kweli wazee dawa.
 
Unadhani ni kazi rahisi kuzima kelele za wanachama kukatazwa kumuaga ndugu yao kwenye viwanja wa mashujaa? Ieleweke wazi kwamba propaganda ni somo na watu wapo busy pale udsm kulifanyia kazi! Wachache watanielewa hah hah !
 
Teve ni mwandishi wa habari aliyekuwa akimuhoji Wema, baada ya kubanwa sana Wema kamwaga ugali. Inabidi ujitafakari unapotuaminisha Teve ndiyo Steve Nyerere.
 
tunatolewa kwenye mambo ya msingi hivi hivi...mnyika aburuzwa toka bungeni na kupigwa ban kinyume cha kanuni,pof mruma na ripoti yake rubbish,mghwira wa ACT atahudhuria vipi vikao vya ccm vya mkoa,kunyimwa uwanja kumuaga ndesapesa....stupid country
 
Hahahahahaha bonge la muvi jamani haya mambo tuyasikie vimewatokea wengine
 
tunatolewa kwenye mambo ya msingi hivi hivi...mnyika aburuzwa toka bungeni na kupigwa ban kinyume cha kanuni,pof mruma na ripoti yake rubbish,mghwira wa ACT atahudhuria vipi vikao vya ccm vya mkoa,kunyimwa uwanja kumuaga ndesapesa....stupid country

IQ yako[emoji88]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom