Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Mbowe ni nyokooo kama watoto wa mjin wasemavyo anakula kitu lain bila hofu kabisa
 
Ni Steve Nyerere,akiwa na mtu anayejirekodi kwa kumuigiza Wema
Sasa huyo mtu kachoka kurudia mara kwa mara ili aipatie sauti.Ndio maana anasema "Steve mi nimechoka bhana"

Michezo ya vijana wa mjini,wasiofanya kazi kwa kutegemea mizinga ya wanasiasa
Hii scandel ingekua ya makonda jicho lingekutoka kama unakata gogo
 
Hey wemaaaaa.
Kweli chini kuna run dunia.
Mbowe karegeza sauti.
Acheni CHINI kuitwe CHINI.
 
Hivi hii sauti ya wema ilivyo nyororo ishaharibika? hat hii ya kubumba kwa sababu tune yake bado, tafta sauti ya wema akiwa analalamika ni lazima hatupie kingereza hatari hapa maccm yamenoa
Angekua makonda mngefurah kishenz yamewafika ndo mnaanza kujiuma uma hapa, nilijua mbowe ni fisad wa pesa pekee kumbe had mapenz aisee ni nomaa
 
Jamii forum kipindi cha likizo inakuwa na vituko kwa sababu wanafunzi wanajaa na akili zao za T+S+N...great thinker kabisa unakaa unaamini hizo sauti za Mbowe kweli?..
Na bado mnadanganya watu eti mtajenga viwanda kweli??
 
Akifanya mbowe et kapakaziwa..kwan mmeambiwa mbowe khanisi nini hapigi mzigo....watoto wa ufipa vilaza kweli
 
Mambo yameingiliana sijuwi nani mkweli.
56c352be987307770cd15963cab3b05b.jpg
fedc0e754e2a347ee37a2d210123495a.jpg
Hii mkiwa saba au watano tu mna create group mnaliita CCM mpya kisha mnajipa majina kama Makonda, polepole and so kisha mtachat mka screen shot mnaleta hapa, acheni upuuzi Mbowe anakula mzigo kama kwa mh Mukya tu alianza kukanusha hivi hivi mpaka sasa mtoto anatembea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom