Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Sasa si wameshagusanisha viungo vya uzazi,heshima itatoka wapi?
Kama huyu Samaki wa pale magogoni aliweza kugusanisha vya kwake na Sundi ze senior mchepuko, na bado mnampa heshima yake kwanini hisiwezekane kwa Mh. Mbowe?


Sasa si wameshagusanisha viungo vya uzazi,heshima itatoka wapi?

be4bc5d85730c80ad74536a8639c8cd9.jpg
 
Chadema.....mwacheni m/kiti maadam hajaharibu ktk uongozi wa chama. Ask Clinton
 
Mipumbavu hujadili mambo ya mapenzi yasiyo na tija kwao badala ya kujadili changamoto zao
Usijisumbue ku-quote, ni lazima watu wajadili maana huyo ni Kiongozi wa umma na aliye kwenye Ndola so maisha yake pia lazima yawe scrutinized na umma. Mbona maisha ya wanamuziki tu yanawasumbua Irene kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani? La muhimu is it true?
 
Hivi huyu Wema ana nini??

Mi nilidhani ni Gigy Money tu, ndio anadondosha watu...

Mwenyekiti ndani ya msiba na mwezi mtukufu naye hoi kwa Wema..

Halafu kidhungu kibovu.
 
Haya wale mnaofuata vyama kama dini chomoeni na hilo.... Kamtaja live ni mwenyekiti.
 
hahahahahaha Mbowe ni msaliti.
Mambo ya jazwa ujazwe....
Omdoeni mambo yenu ya hovyo mtaongea Mengi kuhusu Mbowe hamtafanikiwa.

Tengenezeni kashfa mwisho mtaacha hatukatishwi tamaa wala hatutatoka kwenye mstari, CHADEMA mpango mzima
 
Hapa Mwenyekiti umetuangusha hiyo papuchi ya huyo binti ni bandika bandua Sasa Nini wewe kimekusibu ,Warembo wamejaa mjengoni kibao si ungechukua huko ona Sasa yametukuta
kipi kipimo cha bandika bandua
usipime papuchi kwa macho, we tumia unapokuwa na hamu
 
Kama huyu Samaki wa pale magogoni aliweza kugusanisha vya kwake na Sundi ze senior mchepuko, na bado mnampa heshima yake kwanini hisiwezekane kwa Mh. Mbowe?

Sundi ndo nani ? MBOWE Kazidi mchepuko kila angle


be4bc5d85730c80ad74536a8639c8cd9.jpg
 
Ukweli wanaujua wahusika....wengine mtaongea mtoane ngeu bure......
 
Duh ndo maana kuna yule msanii gani sijui nimemsahau jina alishaimba ule wimbo unasema "Hii kitu hii kitu hii kitu hii Hii kitu hii...." nimesahau muendelezo wake, anayekumbuka auendeleze
Hiii kitu bana ni heshima ya ndoa inaweza kujenga au kubomoa......itakuwa ni john woka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom