Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Kut....mba ni sifa Kwa mwanaume... Ingekua skendo ya ushoga apo ndo tungeshangaa.
Kama mwenyekiti wenu ni mchafu kwa jinsi hii basi nimeamini yale wanayosema alikiuza chama kwa milioni 10 kwa mzee ambaye hataki kuvaa magwanda. Eti ndiyo alitaka kuwa raisi! Puuu.
Kut.....mba sifa ya mwanaume? ??? Real??? Kama ndivyo huu uzi usingefika page ya 20
 
Mwanzo nilivyosikiliza ile clip nilijua kweli, ila baada ya kutoka na hii ya pili nina wasi wasi ni mchezo unachezwa kuchafua watu.
Ni mchezo tena wa kipumbavu na huyo Dada anayeongea hiyo sauti tayari tumeshamjua.sijui wanapata faida gani kwa habari za uzushi.
 
0f364f981861922b3f76a498305da148.jpg
Sijaelewa. Amekanusha au anataka tusiifanye issue?
 
Sisi tunataka viwanda tu..hayo mengine hayatuhusu
 
Anything that's fake should always come from zero brain. When you input garbage in your computer the result shall be 100% correct but garbage
 
Sasa nakwambia Mama yako anatembea na Mbowe, sambaza hii kwa wenzako, si unashabikia upuuzi, sambaza na hilo! acha kuchafua watu!
Mwambie mkuu! Watu bado hawajajua kuwa CHADEMA siku hizi ni mtambo wa kusafisha waovu. Wamesahau tulivomsafisha jamaa tuliyemlist kuwa ndiye FISADI number moja Tanzania lakini tukamsafisha na kumpisha agombee awe RAIS WETU. Itakuwa kaishu ka mapenzi tu kama haka?
 
Nimeamini 90% ya watz na hata humu mpo ni wajinga hiyo sio sauti ya wema kuna demu kaigiza na kama uko makini kuna mda anapotea kabisa ile tone ya wema na mwishoni pale anasema steve mi nimechoka bana
Kwa jinsi mbowe alivyokuwa analalamika na kubembeleza kimahaba itakuwa vipi akisimama mbele ya waandishi wa habari au kawasaki kuongea? Yaani kajivua nguo
 
Sauti inavyosikika niupande huo wa anayejimbulisha wema sepetu iliporekodiwa iweje yeye aseme imerekodiwa upande wa mbowe
 
Iyo familia inatafuta kiki kupitia voice note....na ile ya pili je sio yy...mxxx
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom