ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Mchana na magwanda usiku na boxer macho legelege kwa Wema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchana na magwanda usiku na boxer macho legelege kwa Wema
hasira za nini?Na wewe nenda akakufaidi
Kama mmemkosa kwenye madawa huko kwingine mnatapatapa tu nyani mwenye tako kubwa ww.Mpigie, Tomaso mkubwa wewe
Kama mwenyekiti wenu ni mchafu kwa jinsi hii basi nimeamini yale wanayosema alikiuza chama kwa milioni 10 kwa mzee ambaye hataki kuvaa magwanda. Eti ndiyo alitaka kuwa raisi! Puuu.Kut....mba ni sifa Kwa mwanaume... Ingekua skendo ya ushoga apo ndo tungeshangaa.
Sasa nakwambia Mama yako anatembea na Mbowe, sambaza hii kwa wenzako, si unashabikia upuuzi, sambaza na hilo! acha kuchafua watu!hahahahahaha Mbowe ni msaliti.
Mambo ya jazwa ujazwe....
Ni mchezo tena wa kipumbavu na huyo Dada anayeongea hiyo sauti tayari tumeshamjua.sijui wanapata faida gani kwa habari za uzushi.Mwanzo nilivyosikiliza ile clip nilijua kweli, ila baada ya kutoka na hii ya pili nina wasi wasi ni mchezo unachezwa kuchafua watu.
Sijaelewa. Amekanusha au anataka tusiifanye issue?
Mwambie mkuu! Watu bado hawajajua kuwa CHADEMA siku hizi ni mtambo wa kusafisha waovu. Wamesahau tulivomsafisha jamaa tuliyemlist kuwa ndiye FISADI number moja Tanzania lakini tukamsafisha na kumpisha agombee awe RAIS WETU. Itakuwa kaishu ka mapenzi tu kama haka?Sasa nakwambia Mama yako anatembea na Mbowe, sambaza hii kwa wenzako, si unashabikia upuuzi, sambaza na hilo! acha kuchafua watu!
Kwa jinsi mbowe alivyokuwa analalamika na kubembeleza kimahaba itakuwa vipi akisimama mbele ya waandishi wa habari au kawasaki kuongea? Yaani kajivua nguoNimeamini 90% ya watz na hata humu mpo ni wajinga hiyo sio sauti ya wema kuna demu kaigiza na kama uko makini kuna mda anapotea kabisa ile tone ya wema na mwishoni pale anasema steve mi nimechoka bana
Imeigizwa na stiven nyerereSijaelewa anakana sauti yake au? ?
Wanatakiwa waanikwe wote na picha zao hapaNi mchezo tena wa kipumbavu na huyo Dada anayeongea hiyo sauti tayari tumeshamjua.sijui wanapata faida gani kwa habari za uzushi.
Na hii voice note ya pili je...anayosema sio yy aliyerokodi ni mwenyekiti...tena inaonekana alikua anamwambia steve nyerere...naona steve kaamua kuwakomesha na waoImeigizwa na stiven nyerere