Wema atoa offer ya Mil. 2 kwa atakayempata mbwa wake...

Jide ndo ananiuma balaa, coz ni fighter sana yule mmama[emoji22][emoji22]

Hii midemu mingine mipenda kitongaaa walaaa, hainiumizi kichwa[emoji848]
Jide alitembea na Ruge enzi wapo clean na waliachana kitambo ,sidhani kama Komando ana GRIDI.
 
Nahisi umechanganya Badriya Kiondo aliyekuwa Mkuu wa Utawala na Fedga ktk ubalozi wa Tanzania nchni India mume wake alikuwa ni Frank Mwamkai Kiondo siyo CK.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Oh nimechanganya madesa, maskini mama wa kizenji aliumiza sana
 
Reactions: Ilu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…