Wema, Aunty "Kimenuka" kisa Zari

Wema, Aunty "Kimenuka" kisa Zari

Yaan ukiwa na urafiki na wema uwe msukule akigombana na mtu nawe huyo mtu ugombane nae sasa Daimond si alimuacha mwenyewe ya nini kumchukia zari ,,,,,yaan wema utafikiri alimzaa diamond

BInamu msukuma anaichakachuaje hyo naniliu na hii mvua, pole
 
Kwanza hujasombwa na mafuriko weyeee hhhhaaaaaaaaa,mbali sanaaa aiseee

Mie nakaa ushuan uku mafuriko nayaona insta tu, halafu toka tujuane binamu hatujawah kupeana changamoto, ivi ilikuwaje tukawa mabest? Yani umbea huu hapana kwa kwel khaa
 
Mie nakaa ushuan uku mafuriko nayaona insta tu, halafu toka tujuane binamu hatujawah kupeana changamoto, ivi ilikuwaje tukawa mabest? Yani umbea huu hapana kwa kwel khaa

Hhhhhaàaaaaa looo sijui bana
 
inanishangaza, yaani akichukie yeye kitu hata watu wa karibu nae wachukie....? upuuzi mtupu huu....
 
inanishangaza, yaani akichukie yeye kitu hata watu wa karibu nae wachukie....? upuuzi mtupu huu....

YE ndio staa bwana, mbona hajamchukia idris aliyehudhuzuria white party na kuongea na zari
 
Haya jamani kwa Huddah kumekucha insta...kamshushia mapange Mange basi wadau wanajirusha na yote...mie kama kawa ni msoma koments 10 au 15 gazeti ni lina comments 750 hadi sasa....
 
Back
Top Bottom