Yaan ukiwa na urafiki na wema uwe msukule akigombana na mtu nawe huyo mtu ugombane nae sasa Daimond si alimuacha mwenyewe ya nini kumchukia zari ,,,,,yaan wema utafikiri alimzaa diamond
Nimekumisije,yani nikikuona wewe na Heaven on Earth uwa napata nguvu sana, tumetoka mbali ahahaha ahaha
hhaaaaaa Enzi za beiber yaani biamu ile siku siji kuisaau
BInamu msukuma anaichakachuaje hyo naniliu na hii mvua, pole
BInamu msukuma anaichakachuaje hyo naniliu na hii mvua, pole
Unaweza kumbusha ilikuwaje namie nijue nichekeee
Alimuuliza sijakuelewa, kwa nn umemtag ney na shamsa, wamefanyaje, naona aunty alitaka kuipaisha couple ya ney sema akakosa swaga
hahaaaaaaaa we ile ilikua hatari halafu wote tulikuaga wageni wageni
Usimwambie naona aibu bhana, hahahaj
hahaaaaaaaaa hadi mvua iishe itakomaje
Niambie basiiiii
Aaaaaaaaaa ashaondoka huyo kaenda kubeba box
haka kabaridi kanahamasishaje kukunjwa lol
haaaaa naona aibu ujue
Mie nakaa ushuan uku mafuriko nayaona insta tu, halafu toka tujuane binamu hatujawah kupeana changamoto, ivi ilikuwaje tukawa mabest? Yani umbea huu hapana kwa kwel khaa