Wema auza gari la Diamond


Eti ana show mikoani.
Anataka kujifanya et mjasiriamali kumbe mjasiria uchi ebu atupishe show my foot
 
Kama hataki gundu akiuza na hizo hela akawape watoto yatima. Akizitumia gundu bado lipo palepale ni sawa na kuendelea kulitumia hilo gari.
Anatafuta ujiko tu magazetini, kama kweli ana jeuri alirudishe alikolitoa tuone.....

Mi naona alitudishe tuuu kama linamkera
 
auze mpaka hata taulo alizopewa zawadi atajua mwenyewe Diamond yupo na Zari ambaye ana mtoto mwenye umri kama wa diamond .
 
auze mpaka hata taulo alizopewa zawadi atajua mwenyewe Diamond yupo na Zari ambaye ana mtoto mwenye umri kama wa diamond .

Nadhani pamoja na kuzaa bado mashine ina mnyumbuliko kuliko ya Wema anayeifanyia biashara mpaka kwa vigogo wa ikulu...
 
Now I know Diamond was sincere... wale wengine wakimuacha mbona wanatumpiaga vitu njee?? na magari yao wanachukua??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…