Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nngemwona anamaanisha km angesema anamrudishia, maranyingi wapenzi ndo wafanya km ndo anasusa, ss yeye anauza! Hiyo ni dalili ya kufulia, na atakuja kulost had aanze kukitembeza barabarani, me nipo hapa. Anajfanya et ana show, kwa tasnia ipi? Muziki? Mitindo? Au nn maa kuigiza hajui. Huyo dada kwisha habari yake, nae atabak kijcfia kuwa aliwah kuwa mpnz wa Dai km wenzie akina penny
Kama hataki gundu akiuza na hizo hela akawape watoto yatima. Akizitumia gundu bado lipo palepale ni sawa na kuendelea kulitumia hilo gari.
Anatafuta ujiko tu magazetini, kama kweli ana jeuri alirudishe alikolitoa tuone.....
auze mpaka hata taulo alizopewa zawadi atajua mwenyewe Diamond yupo na Zari ambaye ana mtoto mwenye umri kama wa diamond .