Wema auza gari la Diamond

Wema auza gari la Diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' alilompa aliyekuwa mwandani wake , Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam' limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015.

Gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' alilompa aliyekuwa mwandani wake , Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam '

KUMBE LIPO KWA DALALI

Habari za kiwango kutoka kwa mnyetishaji wetu zilidai kwamba gari hilo lipo kwa dalali wa kike maarufu ajulikanaye kwa jina moja la Tindwa kwa ajili ya
kulitafutia mteja.

NI KISASI ?

Ilidaiwa kwamba , Wema ameamua kufanya hivyo kwa kuwa ana kisasi na hasira kwa Diamond kwa kuwa jamaa huyo kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Uganda , Zarinah Hassani ' Zari au The Boss Lady ' .

"Watu wanadhani Wema anafurahishwa na Diamond kutupia mapicha na Zari baada ya kuwasifia juzikati ."Ukweli ni kwamba hivi sasa Wema anakereka sana na jinsi Diamond anavyoweka mapicha yake na Zari wakiwa sehemu mbalimbali na anaona kuwa na gari ambalo amepewa zawadi na Diamond ni kujipa kero zisizokuwa na sababu hivyo ameamua kuliuza , "kilisema chanzo hicho .

Aliyekuwa mwandani wa Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' Wema Isaac Sepetu ' Madam ' .

HALIJAPATA MTEJA

Mpashaji wetu huyo alizidi kunyetisha kwamba pamoja na gari hilo kuwa sasa bado liko sokoni lakini halijapatia mteja wa kulinunua kitu ambacho kinazidi kumkera Madam.

"Bado gari halijapata mteja ' so' kitendo hicho kinamkera sana Wema kutokana na gari hilo kutouzika mapema kwa maana kila anapoliona hajisikii vizuri
kabisa, " kilisema chanzo hicho kwa sharti la kutotajwa gazeti kwani ni ' besti ' mkubwa wa Wema.

WEMA ANASEMAJE ?

Baada ya kupewa ubuyu huo, gazeti hili lilimsaka Wema ambaye alipopatikana alidai yupo bize akiandaa shoo zake za mkoani Dodoma na Morogoro.

"Ngojeni kwanza nimalize shoo zangu za mikoani. Kwa sasa nipo Dodoma nikimaliza naenda Morogoro, "alisema Wema kwa ahadi kuwa atafafanua suala hilo vizuri akitulia.

Chanzo: GPL
 
Attachments

  • 1420439145378.jpg
    1420439145378.jpg
    67.2 KB · Views: 1,909
Wacha weee

cha mtu mavi, si angerudisha tu kama kweli halitaki, kuendekeza umaskini tu na njaa, ndo malipo ya kuhongwa hayo, si aliona raha wakt anapewa magari ya bure, na vichambo juu sasa mambo yamemgeukia anataka kuuza, pambafuu zake
 
Ila hawa jamaa zetu wanakazi kwelikweli
 
Kama hataki gundu akiuza na hizo hela akawape watoto yatima. Akizitumia gundu bado lipo palepale ni sawa na kuendelea kulitumia hilo gari.
Anatafuta ujiko tu magazetini, kama kweli ana jeuri alirudishe alikolitoa tuone.....
 
Kama halitaki na linamkera si amrudishie ndomo?

anajishaua uwezo huo hana, si unakumbuka kipindi kile anahongwa magari mawili wacha akina Mrembo by Nature watupe vichambo eti madam yupo juu aya leo hii gari limegeuka kuwa moto mkali, nilisemaga vya kuhongwa sio vyako vina gharama na cha mtu siku zote ni mavi, ona anavyohangaika sasa , angekuwa kanunua kwa pesa yake asingetokwa mapovu ovyo kma ana kifafa
 
Last edited by a moderator:
Kama hataki gundu akiuza na hizo hela akawape watoto yatima. Akizitumia gundu bado lipo palepale ni sawa na kuendelea kulitumia hilo gari.
Anatafuta ujiko tu magazetini, kama kweli ana jeuri alirudishe alikolitoa tuone.....

Yeye mwenyewe ana dhiki mpaka matakoni, kama gari halitak arudishe kwa mwenyewe asijishaue wakt uwezo wa kununua hana
 
anajishaua uwezo huo hana, si unakumbuka kipindi kile anahongwa magari mawili wacha akina Mrembo by Nature watupe vichambo eti madam yupo juu aya leo hii gari limegeuka kuwa moto mkali, nilisemaga vya kuhongwa sio vyako vina gharama na cha mtu siku zote ni mavi, ona anavyohangaika sasa , angekuwa kanunua kwa pesa yake asingetokwa mapovu ovyo kma ana kifafa

Hiyo yote ni mtoto mzuri zari.Yani na alivyoajielewagi ndomo akimwambia warudiane ataenda anakimbia.Na mapovu yote sio gari tatizo kavurugwa na boss lady
 
Last edited by a moderator:
Hiyo yote ni mtoto mzuri zari.Yani na alivyoajielewagi ndomo akimwambia warudiane ataenda anakimbia.Na mapovu yote sio gari tatizo kavurugwa na boss lady

kweli zarina kiboko ya mama ubaya, atakufa kabla ya wakat...van vicker si yupo jamn au?
 
kweli zarina kiboko ya mama ubaya, atakufa kabla ya wakat...van vicker si yupo jamn au?

Labda kamuonja tu then kasepa hawezi kuwa na mama ubaya yani aache vigori warembo atembee na mfupa uliomshinda fisi?Binamu una masihara
 
anajishaua uwezo huo hana, si unakumbuka kipindi kile anahongwa magari mawili wacha akina Mrembo by Nature watupe vichambo eti madam yupo juu aya leo hii gari limegeuka kuwa moto mkali, nilisemaga vya kuhongwa sio vyako vina gharama na cha mtu siku zote ni mavi, ona anavyohangaika sasa , angekuwa kanunua kwa pesa yake asingetokwa mapovu ovyo kma ana kifafa

Hahahaaaa,umenikumbusha mbali aisee tulikula vichambo vya hatariii.
Mwisho watu mkapigwa ban tukabaki wachache hapa tukipambana.
 
Last edited by a moderator:
Kama hataki gundu akiuza na hizo hela akawape watoto yatima. Akizitumia gundu bado lipo palepale ni sawa na kuendelea kulitumia hilo gari.
Anatafuta ujiko tu magazetini, kama kweli ana jeuri alirudishe alikolitoa tuone.....

Hili wazo zuri sana aisee
 
Hahahaaaa,umenikumbusha mbali aisee tulikula vichambo vya hatariii.
Mwisho watu mkapigwa ban tukabaki wachache hapa tukipambana.

nakumbuka vzuri.. sasa ivi wanajifanya hawapo kubabeki chezeya magari ya kuhongwa weye ndo warudishe manina zao
 
Wema analia wivu wa kimapenzi. Wema hana chanzo kingine cha pesa zaidi ya urithi wa bibi.
 
Back
Top Bottom