Wema auza gari la Diamond

Wema auza gari la Diamond

Hiyo yote ni mtoto mzuri zari.Yani na alivyoajielewagi ndomo akimwambia warudiane ataenda anakimbia.Na mapovu yote sio gari tatizo kavurugwa na boss lady

Hpo kuna ulakini mimi toka mwanzo nilistuka kua hilo gari domo n wema walipanga mchezo 2,hivi ukiwa n kadi y gari c unauza fasta kwa bei poa cz hujagharamia
 
mmh mama ubaya na yeye anajifanya yupo busy na show? makubwa haya

Binamu mimi nilijua toka mwanzo domo n wema walipanga mchezo w zawadi y gari,hivi hiyo gari bei yke yard ni 30m mpka 25m unapata.sasa akisema anauza 20m c atapewa hela fasta inaonekana hana kadi y gari huyo madam
 
Mbona kwenye in my shoes anaendelea kurusha issue za birthday ya Mama Diamond. Huu sio udaku kweli?
 
naskia diamond anaanda show ya diamond are forever.....sijui mama ubaya ataenda tena?
 
Wema is so crazy sometimes.
Hata ule ujasiri mduchu wa kike hana.
Bado anaota ndoto za Daimond......khaaa along side the Bosslady, mbona atahaha sana!!

Bora afanye yake tu!
 
Binamu mimi nilijua toka mwanzo domo n wema walipanga mchezo w zawadi y gari,hivi hiyo gari bei yke yard ni 30m mpka 25m unapata.sasa akisema anauza 20m c atapewa hela fasta inaonekana hana kadi y gari huyo madam

Hahahahahahahaha sasa garii ni la nani??
 
Muoneeni huruma huyu bint anajuta sasa, Mkongo kampa BMW lakini shughuli yake kubwa anapakua jamaa atamharibu
 
cha mtu mavi, si angerudisha tu kama kweli halitaki, kuendekeza umaskini tu na njaa, ndo malipo ya kuhongwa hayo, si aliona raha wakt anapewa magari ya bure, na vichambo juu sasa mambo yamemgeukia anataka kuuza, pambafuu zake

Sindo hapo sasa angeligawa au angeenda kuli dump kama kweli linamchefua atoe njaa huko..
 
Me nngemwona anamaanisha km angesema anamrudishia, maranyingi wapenzi ndo wafanya km ndo anasusa, ss yeye anauza! Hiyo ni dalili ya kufulia, na atakuja kulost had aanze kukitembeza barabarani, me nipo hapa. Anajfanya et ana show, kwa tasnia ipi? Muziki? Mitindo? Au nn maa kuigiza hajui. Huyo dada kwisha habari yake, nae atabak kijcfia kuwa aliwah kuwa mpnz wa Dai km wenzie akina penny
 
Back
Top Bottom